pata picha mama yako awe na tabia kama za mama diamond

Freightliner

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
720
522
yaaani ndio awe mama yako kwanza kabisa ana kibenten alafu anavaa vichupi kama vile swimmingpool pia anashikwa shikwa matako,matiti na kila kitu mbele ya jamii kwa akili zako ulizo nazo sasa hivi huyo awe ndio mama yako unakuwa katika hali ipi
 
Kwanza huyo Ben ten ingebidi asalishwe Sala ya toba kabla hajafurumushwa. Issue si kuolewa na benten issue ni kuonyesha mambo ya faragha mitandaoni.Jamani mimi mwenyewe nasikia aibu sana kama mwanamke labda mshamba mie aisee
 
Anashikwa shikwa na kiben ten chake....

Anavaa vichupi, akiwa sweeming pool....

Uzi bila picha haunogi wala nini
 
Siwez vuta picha kwakweli yule mama kiboko anawaiga wazungu wakati mtu wa tandale
 
Tafadhali
Jitahidi Utuletee Pictures Ndiyo Watu Wengi Sana Waanze Kumwaga Nondo
Shamte Haa Anamtembeleza Vifimbo Kwenye Stadium
 
Bora hata watoto wake wakawa wasanii ili wasione aibu. Maana watoto wanaaibika lakini wanachukulia pouwa tu.
Aibu wanaona wengine.
 
WAISLAAM TUNASISITIZA MWANAUME LAZIMA AWE NA WIVU KWA MKEWE, MAMA YAKE(Kwa mwanaume asiye baba yake), AU DADA ZAKE...

MWANAUME ASIPOKUWA NA WIVU TUNAMWITA DAAYYUTH...NA HATOIPATA HATA HARUFU YA PEPO...
 
yaaani ndio awe mama yako kwanza kabisa ana kibenten alafu anavaa vichupi kama vile swimmingpool pia anashikwa shikwa matako,matiti na kila kitu mbele ya jamii kwa akili zako ulizo nazo sasa hivi huyo awe ndio mama yako unakuwa katika hali ipi
Mama diamond kweli ni jau
 
Labda kwa tamaduni zetu,otherwisw sijaona cha ajabu coz yule ni mme wake wa ndoa,kuna vitu ni exposure tu ndo inafanya wabongo tumuone kama anafanya ndivyo sivyo..mi sipendi tu tabia yake ya kuwa kwenye business ya mwanae kimahusiano,maana anayoyafanya na aliyokuwa akiyafanya Zari wakati yuko na Diamond sioni tofauti kabisa mwe
 
Back
Top Bottom