Mwanamke ndio chanzo cha majuto kwa wanaume wengi lakini bado wanaume hatusikii tu.

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Heri ubaki bachelor kuliko kuoa, Kuna mambo mazito Sana yanatokea kwenye jamii zetu kuhusu hawa wanawake,, nimewahi kushuhidia mwanaume analia kabisa kisa mwanamke, jamaa alijiwekeza vya kutosha kwa mke.

Siku 1 amekuta mke ameleta kidume ndani ya nyumba.. Kwenye biblia Toka kitabu cha mwanzo mwanamke amekua akilaumiwa Sana kwa matendo yake hadi laana ikaingia duniani!

Humu ndani Kuna watu wameumizwa Sana na hawa wanaojiita wanawake,, cha Ajabu kabla ya ndoa wanakua wa pole Sana lakini ikitokea umemuoa tu utayaona makucha yake anayatoa hapo ndo utapujua Kua wanawake sio viumbe vya kuvilegezea..

Mifano mingi Sana tena iko wazi wazi kuhusu hawa mabinti sijui ndo wanawake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I will never take a woman serious in my life........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom