Jamani tuishi na wale tunaoweza kuwamudu, vinginevyo tuwe tayari kudhalilishana

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,355
40,237
Nimepita mahali nikakutana na baharia anapokea kipigo kikali kutoka kwa mkewe, na kilichonishangaza zaidi baharia ni IST na mkewe ni Fuso. Mbaya zaidi baharia akawa anatoa machozi, kutokana na maumivu ya kichapo alichokipata pamoja na kudhalilishwa. Nikawa najiuliza maswali huyu baharia alilazimishwa kuishi na fuso?

Jamani tuishi na wale tunaoweza kuwamudu, vinginevyo tuwe tayari kuja kudhalilishana.
 
Tatizo sio fuso wala ist kuishi pamoja, kuna fuso zingine behavior zake unaweza ukahisi ni ist, na ist ikawa km fuso tu
Kweli mkuu, ila ni vizuri kuikimbia 'risk' kama inawezekana.
 
Back
Top Bottom