Kuna future kweli hapa?

Kuna future kweli hapa?

INRI

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
1,354
Reaction score
2,405
Za jumatano huku wote.

Kwa maelezo ya rafiki ni hivi...

Alikutana na bae wake kupitia hizi app za kudate ( Tinder, Badoo etc). Walikutana siku hiyo hiyo baada ya kuchat hadi kupeana namba. Huyo Bae si Mtanzania, ni kutoka nchi jirani na Tanzania. Walikutana Hotel moja, 2nd class in Dar.

Pindi wanakutana ndio penzi likanoga, anakwambia alipewa mahaba ya hatari ( washenzi wanawaza tigo). Bhasi ikawa kuna chemistry kubwa kati yao kuliko walivyozania ( it was one night stand at first agreement).

Wakalala mpaka asubuhi ( All night long at zero distance, making love). Bae alikuja kikazi, kesho yake akawa anaelekea nchi yake, akampa 30k ( not payment for sex, it was agreed to be fun). Akapokea si unajua wanachuo bhana.

Sasa wakawa wanachat kama kawaida, kuna kipindi akamuomba kazawadi Bae wake ( 100k) akatumiwa kiroho safi via Safaricom. Alikuja tena kikazi akamtafuta, wakalala hotelini, akamtoa mpunga, nahisi alijua ni mwanachuo.

Bhasi, akarudi tena nchini kwao wakaendelea kuwasiliana. This time hakumuomba kitu kwa miezi kama tisa hadi mwezi huu. Alimuomba laki tatu kasoro million ( 700k), mambo ya kodi. Akatumiwa bila shida.

Je, kutakuwa na future juu ya hawa wawili?

NB: Bae ana familia kwao lakini anasema anampenda sana huyu mwanachuo.

Nini mawazo yako?

MIMI SIYE MUHUSIKA. [emoji57]
 
Unatupa kazi ngumu sana mkuu.

Mambo mengine yapo wazi kabisa lakini unataka napo ushauri.

Btw sio kila uhusiano lazima ufikie ndoa
 
Kwanini mkuu?

Ebu nifafanulie yapoje wazi?

Anyway, ahsante kwa kuchangia kitu.
 
Za jumatano huku wote.

Kwa maelezo ya rafiki ni hivi...

Alikutana na bae wake kupitia hizi app za kudate ( Tinder, Badoo etc). Walikutana siku hiyo hiyo baada ya kuchat hadi kupeana namba. Huyo Bae si Mtanzania, ni kutoka nchi jirani na Tanzania. Walikutana Hotel moja, 2nd class in Dar.

Pindi wanakutana ndio penzi likanoga, anakwambia alipewa mahaba ya hatari ( washenzi wanawaza tigo). Bhasi ikawa kuna chemistry kubwa kati yao kuliko walivyozania ( it was one night stand at first agreement).

Wakalala mpaka asubuhi ( All night long at zero distance, making love). Bae alikuja kikazi, kesho yake akawa anaelekea nchi yake, akampa 30k ( not payment for sex, it was agreed to be fun). Akapokea si unajua wanachuo bhana.

Sasa wakawa wanachat kama kawaida, kuna kipindi akamuomba kazawadi Bae wake ( 100k) akatumiwa kiroho safi via Safaricom. Alikuja tena kikazi akamtafuta, wakalala hotelini, akamtoa mpunga, nahisi alijua ni mwanachuo.

Bhasi, akarudi tena nchini kwao wakaendelea kuwasiliana. This time hakumuomba kitu kwa miezi kama tisa hadi mwezi huu. Alimuomba laki tatu kasoro million ( 700k), mambo ya kodi. Akatumiwa bila shida.

Je, kutakuwa na future juu ya hawa wawili?

NB: Bae ana familia kwao lakini anasema anampenda sana huyu mwanachuo.

Nini mawazo yako?

MIMI SIYE MUHUSIKA. [emoji57]
Mkuu we ni mwanaume au mwanamke??
 
None of the above.

I'm Hermaphrodite.

Turudi kwenye mchango.
Kama ni Me na unatuletea habari za BAE wa rafiki yako ni kama a bit irritating hivi??
kama weni demu huyo ni wewe!!!
 
MIMI SIYE IN CAPITAL LETTERS.

Vipi na wewe una BAE? Nipo Mkoani huku, na mimi pia nina familia, na ningependa niwe BAE wako ili nitakapokuwa nakuja mjini, tuwe tunaspend pamoja na kulala kwenye hizo hizo second class hotels.
 
Machalii za Kenya zinacare balaa,ila awe makini,wanawake wakule hawana masihara
 
Kwahiyo unaona laki saba ni pesa nyingi ? Kwa taarifa yako mwanaume kama anataka kukutumia haoni shida kutoa pesa yoyote as long as anayo. Ila siku akirizika na uchi wako ukamkinai .....
 
Niliwaza kama wewe.

Nimeona kuna tofauti kubwa kucare kati ya mbongo na nchi jirani ( speaking from my friend's experience).
 
Kwahiyo unaona laki saba ni pesa nyingi ? Kwa taarifa yako mwanaume kama anataka kukutumia haoni shida kutoa pesa yoyote as long as anayo. Ila siku akirizika na uchi wako ukamkinai .....
Umejibu kwa kupaniki mkuu.

Najua laki saba ni ya vocha.

Nilichotaka kufahamu kuna muendelezo.

Kama kumtumia ingekuwa ni siku ya kwanza tu. Ila ni takibrani miaka miwili kasoro wanakutana na kuwasiliana.
 
Vipi na wewe una BAE? Nipo Mkoani huku, na mimi pia nina familia, na ningependa niwe BAE wako ili nitakapokuwa nakuja mjini, tuwe tunaspend pamoja na kulala kwenye hizo hizo second class hotels.
Heshima iwepo.
 
Back
Top Bottom