Kwa umri niliofikia kwa sasa unatosha kabisa kuanza kujitegemea na kuishi pekee yangu.
Tatizo wazazi wangu hawataki kuondoka na kuniachia nyumba.
Hebu nishaurini nifanyeje wadau.
Hello I’d like to know how marriage between a Kenyan and Tanzanian would be like. If you are familiar with how this plays out please comment below.
I’m from Kenya and my wife Tanzania. We plan on...
Si kila atoae sauti anamaanisha mahaba yako mahali pake.Wengine ni miguno ya maumivu,au ya kiutapeli ili aweze kufanikisha lengo lake.Kwa hiyo unapokutana na miguno ya namna hiyo,kama baharia...
Mmeachana na mtu
Still humsahau
Naye hajakusahau
Bado mnawasiliana
Na kila mtu hajamove on...!!na kama mlijaribu kumove on still bado mnahic kuna kitu hakijakamilika kwakuwa kuna mtu hayupo
Kila...
Shemeji yenu Leo amenifungukia 'kuwa eti nikimkojolesha bao moja yeye kwaupande wake huwa anakuwa kalizika kabisa' Eti hata nikikaa wiki bila kumgusa haina shida.
Vilevile akaongezea kusema kuwa...
Kutokuwa na hisia na mwanamke, kumuhitaji kwa ajili ya sex tu?.
Hii kitu naiona kwa mtu wangu wa karibu , sasa Ana miaka karibu 40 lakini hajawahi kuwa na serious relationship.Yeye akiwa na...
Nimeona baazi ya Wanawake wengi wana penda ku rush mambo ili ku prove kwa wenzao hasa kwenye ishu za mahusiano..
Tumeona dada na wadogo zetu Wameolewa na wanaume wasio na kipato cha kueleweka ili...
Bi Mwantumu wa Ndugumbi amejikuta yupo kwenye wakati mgumu muda huu baada ya mchepuko wake, "bwana Kipara" kutimba kwa Bi Mwantumu kwa lengo la kudai mwanaye wa kiume aliyezaa na Bi Mwantumu...
Baada ya uchunguzi na kukusanya maoni na kuwasikiliza wengi nimebaini kuwa:
1. Wapo Wachungaji, Mashekhe, Mapadri ambao wakifungisha ndoa popote pale lazima ndoa hiyo ivunjike baada ya kukaa siku...
Swali walilouliza!
Wakajikuta swali lao limekosewa! Ni kweli zogo (controversy) au hekaheka kubwa inayowagawa watu katika makundi mawili kuhusu talaka inapatikana katika injili ya Mathayo 5:32 na...
1. Uko na mpenzi/mume/mke wako lakini kila mtu yuko busy na simu anatabasamu na simu yake au anacheka na simu yake kila mtu ana mapenzi na simu yake kila mtu ana ipa simu yake muda zaidi ya mpenzi...
Wiki mbili zilizopita nilifahamiana na binti mmoja katika mtandao wa kijamii, hatujaonana bado na wala hatujawa wapenzi!
Tumeendelea kuwasiliana vizuri lakini toka Jumatatu sikumsikia. Asubuhi...
Habari zenu wadau..
I hope mko yente,,,
Sasa bhana kuna
Chaliangu mmoko
hivi kwao ana'chill
Fas ya Njiro apa apa
Chuga...Sasa uyu mjuba
kwao ni wakishua kinyama
yaani ukisikia wa mashavuni
ndo...
Habari za muda huu wana MMU.
Leo nimekuja kwenu na mada hii kutokana na mambo yanayoendelea ya watu kuuana na kufanyiana mambo mengi mabaya ikiwa chanzo kikuu kinachosikika ni kusalitiana.
Si...
Hope wote mpo wazima
Let's up to the topic
Ipo hivi kwa upande wangu naamini hakuna mkate mgumu mbele ya chai na waswahili wanasema penye nia pana njia au sio!
Shida ni hii hapa inakuaje...
Wakuu habar za jion!!!!!
poleni na pilika pilika za hapa na pale ktk kutafuta chochote ili siku zijisukume.
Pasipo kuchelewa nielekee kwenye mada maisha yamebadilika kabisa zile furaha shangwe na...
Habari zenu Wakuu!
Mimi ni Mkristo, nimezaliwa huku na nimekulia huku. Nimelelewa na kufundishwa Biblia na maandiko mengi ya kidini. Hivyo ni kusema kwa habari ya dini ya kikristo ambayo...
Kwa muelewa wa maandiko matakatifu(biblia) anijuze, je, ni kweli biblia imezuia waliofunga ndoa kanisani wasiachane?, kama inawezekana anipe na reference za maandiko. ahsanteni.....
Alafu ananiomba turudine wakati aliniacha kwa dharau sana sasa hivi eti anajutia nimsaheme. Hivi ina make sense kweli?
Halafu akikuona uko na mwanaume mwingine anachukia hata kama sio boyfriend...