Demu wakishua hadi nimeahirisha kumtongoza asee!!

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,249
Habari zenu wadau..
I hope mko yente,,,
Sasa bhana kuna
Chaliangu mmoko
hivi kwao ana'chill
Fas ya Njiro apa apa
Chuga...Sasa uyu mjuba
kwao ni wakishua kinyama
yaani ukisikia wa mashavuni
ndo huyu mwamba sasa, Huyu Chalii ana
dogo lake ni manzi,
namwelewaga kisoro
asee!!
Siku moja chalii
alitimba maghettoni
nnapo'chill akanambia
anipeleke kwao namimi
coz daily anakujaga yeye
tu kwetu alaf mimi sijawahi
kwenda maskani yao..
Sikuona kwere tena
nikaona ni nafasi ya
kwenda kubofonga
na kumrushia swagiree
dogo lake..
Lahaullah lakwata
picha linaanza kwanza
manzi ana skuli Feza Girls
uko Darisalade,
Mamsi ni mkali
laana aani!
ile tumezama
ndichi ndani,wanaishi yeye chalii,maza ake na mdogo ake tu uyo wakike na wafanyakazi..Mshua wao ni mtu wa safari za nje mala Dubenga'Dubai,China,Singapore,Durban S.A nk.
tukafikia mezani
kwanza knich knach
kwaajili ya kutandika
diko la mornie'Breakfast'
Iyo breakfast sasa Ni shidraa
Baba angu!!kunae mayai,chai
ya maziwa,Mikate,Maandazi,
Supu,matunda hadi Kuku asee
daah!!alaf mazaa kala kidogo tu
akaamsha,Yule manzi nae kashikashika tu vimayai akapita ivi,
Chaliangu nae the same akateleza..
Khaa nikabaki sasa muhuni wa Ngarenaro nakitandika tu bila huruma..
ile namaliza nkapelekwa
kudekerea TVenga,asee
yaani kuna chumba special
kwa kucheki TV utafikiri
kumbi za cinema yaani
viti vimepangana vingine
viko jula'juu' vingine danta'chini'
ili kuepuka kumkinga raia alie nyuma yako!!Dooh kuna nyumba zina laana na Moneygram'Pesa'asee!!
Unaambiwa icho chumba
cha Tv ni cha madogo tu
bado cha wakubwa *****.
Yaani 24/7 wafanyakazi wakike wanapika pale,Msosi wa mchana
sasa ni kufuru unaambiwa daily mbuzi anadanja kwa ajili ya mambo
ya masokolodinyo chini ya pua,,,
Nimekaa nikawaza uyu manzi
sio type yangu asee,Sio kwa iPhones zile alaf mjuba na Tecno S1 yangu khaa!!Japo hana kwere nimepiga nae story mingi tu ila daah kuna mstari mnene sana
kati ya hali yangu na yake especially financial status pamoja na Qualities kaa hizo asee!!
Si ntampa nini?si ntapiga bei mifugo yote ya Babu kule Ngorongoro chalii zangu aty!! @NgarenaroBoy.
 
Attachments

  • Ah.jpg
    Ah.jpg
    17.3 KB · Views: 6
Ungemjazia fomu mgombea hata mmoja wa ccm hakika chadema ingeandika historia ya kupita bila kupingwa hapa tz.
 
dingilaywise ungesororoa tu hvyohvyo ucngenachinachi, ungepambania kombe ya ela yote dingile, mams mbona angezama ndichi mzee
 
dingilaywise ungesororoa tu hvyohvyo ucngenachinachi, ungepambania kombe ya ela yote dingile, mams mbona angezama ndichi mzee
Aaah nimekumanya yechulay Ariff!!Ngoja ntamsorororea day moko iyo nikamrukie kibingwa,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom