George Barran
JF-Expert Member
- Sep 2, 2015
- 654
- 1,302
Hope wote mpo wazima
Let's up to the topic
Ipo hivi kwa upande wangu naamini hakuna mkate mgumu mbele ya chai na waswahili wanasema penye nia pana njia au sio!
Shida ni hii hapa inakuaje unamtokea mtoto mzuri zaid ya mara mbili tena kwa verse kali na ushawishi wa hali ya juu lakini bado anachomoa na hapo kitaa unaona kabisa hana man yeyote anae date nae.
Tatizo huwaga ni nini hasa mazee coz mtoto namuelewa halafu ananiyumbisha ile mbaya