Wajumbe wa bodi ya wadhamini wa mmu
Wakuu Mimi binafsi nishatuma Nauli Mara kadhaa, Kwa mademu ninao fahamiana nao kabisa (ila Wako mbali), Lakini wakatokomea kabisa Simu anazima, halafu baadae...
Daaah!! week mbili kama zilizopita kuna demu moja hivi alihamia mahali nilipopanga, kwa kweli demu ni mzuri yaani nimetokea kumuelewa vibaya mno.
Huyu manzi huwa ananisaidia sana kwenye issue za...
Kuna manzi mmoko nikuwa natafunemo kisela zile za nikimkuta mahali anaweza ntumia sms leo uschukue demu nakupa mm na naweza muona na mtu ,mnyama navunga anajifanya anatoka kuongea na cm na mla...
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.
Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu...
Mimi ni mume mtrajiwa
Umri 42
Urefu futi 6.2
65kg
Maji ya kunde
Naishi na kufanyakazi temeke/dar
Elimu-degree
-Nina hasira japo fupi
-Nina katabia ka kug'ang'ania
-wakati mwingine ni mchokoz...
Kuna dada alinihadithia alivyokutana na mume wake. Walisoma wote shule ya msingi enzi zile za ujamaa hakuna English Medium wote tulikuwa St Kayumba. Mume wake alikuwa anakuja shule na deli la...
Inaamini kwa watu wengi kwamba, wasichana wa Kizaramo wanapowekwa ndani, hufundishwa kwamba, wakiingia kwenye ndoa ni lazima wawe na mafiga matatu.
wanaoamini hivyo wanabainisha kuwa mafiga hayo...
Jana jioni nilikua nachati na demu wangu katika kuchatichati nilijikuta naandika kwenye kikasha cha mama ujumbe haukua mzuri kwakweli nilifuta haraka rakini ripoti ilirudi kwangu kua ujumbe...
Good morning, guys!
Kuna siku ukiwaza na kutafakari kwa nini upo katika mahusiano utajikuta umeshapoteza muda wako, pesa zako na hata kupoteza muelekeo wa maisha kwa mtu ambae hujui kwa nini...
Wakuu,
Leo nilimpeleka wife kujifungua, sema kilichoniuma ni kuona wanaoenda kumzalisha ni vidaktari vitoto sana yani daah nimeumia kwa kweli yani vile vitoto vinaenda kushika papuchi ya mke...
Habarini wana MMU. Nimewamisi sana. Natumai mtanistahi kidogo nawajua kwa majibu ya ovyo hamjambo.
Mimi kuna observation nimepata. Wanaume kwanini hampendi kushikwa makalio na wenzi wenu? Kwa...
Wakuu kuna jambo huwa linanipa utata, hasa hawa mabinti wanaopangisha.
Kiafrika, binti anayekaa kwao anaaminika sana wakati wa kuchumbiwa kuliko aliyepangisha.
Swali ni je, mwanamke anayefanya...
Instagram mtandao unaotumiwa na watu wengi maarufu umetumiwa vibaya kwa muda mrefu na watu wasio wakweli na matapeli waliotimua nafasi hiyo kujiingizia mamilion ya dola kwa njia za udanganyifu...
Katika maisha ukitaka upate mafanikio ya haraka na kuondokewa na msongo wa mawazo yasiyo ya lazima basi hakikisha una date na warembo wakali wa kila namna kadri upendavyo lakini chonde chonde...
Kuna mdau alikuwa na genge lake hilo limesheeni vitu vingi sana mpaka ukipita karibu una hamasika kununua.
eeh wadada bhana si wakaliona
eeh hilo genge halitamaniki vitu vyote kafilisiwa na...
Hii tabia imekuwa kama ishu ya kawaida kumkuta mume au mke analalamika kuhusu mwenza wake... kwa mfano mke anaweza kulalamika kuwa mwenza wake ni
-Mlevi
-Malaya
-Hajali familia
-Mchoyo
-Mchawi...
Aisee! Ukidate na vi slay Queen ambavyo unataka uvipost kwenye WhatsApp status ni mtihani kweli!hasa pale unapokuwa una Mademu watatu sasa ukijifanya unapost kizembe huku kwingine wanapindua meza...
Habari za mida hii wakuu?
Kama uzi unavyojieleza hapo juu.
Nimejaribu kufikiria ni jina gani zuri ambalo nitamwita mpenzi wangu litakalo mpendeza sijafanikiwa.
Nimepekua nyuzi mbalimbali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.