BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,244
Mmeachana na mtu
Still humsahau
Naye hajakusahau
Bado mnawasiliana
Na kila mtu hajamove on...!!na kama mlijaribu kumove on still bado mnahic kuna kitu hakijakamilika kwakuwa kuna mtu hayupo
Kila mkiwasiliana kila mmoja anakiri kuwa bado anampenda mwezie
Hivi situatuon hii hua inakuwaje??..nini solution kwa watu kama hao