Watu watatu wafariki Busekera Musoma,Chanzo wivu wa kimapenzi

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Soma mkasa wote
IMG-20191108-WA0026.jpeg
 
Sasa sijui ni maisha yamekuwa magumu kuliko tulivyozoeya au siku hizi huko kunakoitwa wapenzi kumekuwa na desturi ya kwamba lazima tukiachana tuishie kuuwana!

Sababu ndogo ndogo sana zinaondoa vijana wa kizazi hiki,ukute simu yenyewe ni Tecno tunakoelekea wanawake wasikubali kupewa chochote na ma-boyfriends zao kama hawajaowana ili kuondoa lawama in case mkaachana huyo sheikh naye sijui ni wa Dar yaani anakimbia badala atafute hata gogo ampige nalo kuokoa shari zaidi?
 
Unaona mtu kachoma mtu kisu Mara mbili unajifanya van dame unaenda okoa mbila mbinu yeyote unategemea nini huyo mama boya kwel
 
Ibirisi anakitendea haki kitengo cha Uzinzi na uasherati katika viwango.

Watu kusalitiana hawaoni kama ni tatizo kubwa ila nakuhakikishia, ukigundulika kuwa msaliti kwa mapenzi ya sasa. Kisasi dhidi ya tendo hilo huwa ni kizito sana katika mahusiano ya sasa!

Tusipoishi maisha ya uvumilivu, upendo na kumrudia Mungu wa mbingu na nchi, tutateketezana wenyewe hata kabla Ibirisi hajakunyonga.
 
Back
Top Bottom