Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,549
- 64,916
Si kila atoae sauti anamaanisha mahaba yako mahali pake.Wengine ni miguno ya maumivu,au ya kiutapeli ili aweze kufanikisha lengo lake.Kwa hiyo unapokutana na miguno ya namna hiyo,kama baharia inabidi kuwa makini ili usitapeliwe pia usijerui.