Umri wa kujitegemea, naombeni ushauri au ni mimi na kwama nini

Status
Not open for further replies.

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,301
1,767
Kwa umri niliofikia kwa sasa unatosha kabisa kuanza kujitegemea na kuishi pekee yangu.

Tatizo wazazi wangu hawataki kuondoka na kuniachia nyumba.

Hebu nishaurini nifanyeje wadau.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom