Verifier
JF-Expert Member
- Aug 14, 2019
- 457
- 1,563
Wiki mbili zilizopita nilifahamiana na binti mmoja katika mtandao wa kijamii, hatujaonana bado na wala hatujawa wapenzi!
Tumeendelea kuwasiliana vizuri lakini toka Jumatatu sikumsikia. Asubuhi hii namuuliza mbona yupo kimya? Kanijibu "NIMEISHIWA NA KODI"! Nikamuliza kodi ndio inakufanya uwe kimya, akajibu Ndio! Simuelewi huyu binti wandugu!