Plan ya xmas na mwaka mpya 2019

Plan ya xmas na mwaka mpya 2019

Tairus

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
680
Reaction score
1,068
Kama mada inavyosema

Xmas hii ntakuwa moshi kuhesabiwa kama ilivyo ada.Huko ataangushwa ng'ombe sijui mbuzi ila damu lazima itamwagika..[emoji28]

Mwaka mpya ntakuwepo dar na wanangu kama kawaida nafikir maeneo flani ivi beach nikuikarubisha mwak 2019.

I WISH YOU ALL MERRY XMAS AND A HAPPY NEW YEAR 2019

Ebu tuambie plan yako iko vip ikibidi tualikane..

Karibun Moshi mawela kwa kisawiyo..#downtown
 
Raha ya moshi wale mbuzi wanaodondoshwaga home, xmass lazima moshi,new yr ntakua dar.
 
Back
Top Bottom