Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Kwanza kabisa kamwe sitamuonea wivu mwanamke ambaye sijamkuta bikra. Cha pili, siwezi kumpatia pesa mwanamke ambaye bado sijamvua pichu, labda tu niamue kutoa msaada wa kibinadamu pale inapobidi. Nipo tayari kuhonga tu kile ambacho nipo tayari kupoteza na wala sio nijinyime kisa demu tuliokutana ukubwani na papuchi yake ishasoma mail kama gari used za Kijapani. Demu akinizingua hapo hapo napiga chini hakuna mambo ya kuombana msamaha; kila mechi nahakikisha navaa ndomu tena napiga mechi ya kujiridhisha mimi binafsi na wala sio MTU mwingine!
Sitamchunguza mwanamke yeyote as longer as sio mke wangu, nitaamini ni wangu tu pale nitapokuwa nae kwenye bed. Mwanamke akisema tuachane sitamuuliza ni kwanini, hapo hapo mkataba utakuwa umeisha; sipo tayari kupigana na kiumbe yeyote duniani kisa mapenzi. Nitapigana kufa ama kupona sababu ya pesa na watoto wangu!
Sipo tayari kunyonya tigo kwa namna yoyote ile!
Sipo tayari ku-date na mwanamke yeyote aliyejichora tattoo.
Full stop