Habari zenu wadau?
Waswahili wana methali inasema kitanda usichokilalia uwezo kujua kunguni zake
Leo tukumbushane kuna wale wadau ambao kabla ya kuingia kwenye ndoa waliapa kuwa hawawezi kuoa au...
Habari wakuu
Leo nawatetea rasmi ili kabila pendwa la kaskazini na wanawake wengine wanaonekana ovyo kitandani kutokana na hichi nilichokiipata leo hii.,
Kabaridi kaleo dzm kamenichochea na...
Hizi mvua hizi ni balaa tupu.
Kama baharia uko mwenyewe ndani bila jiko linaloeleweka, lazima mwili upungue; baridi inapenya hadi kwenye mifupa.
Mabaharia huu ndio msimu wa kuoa huu, ukizubaa...
Mke uliyemtolea mahari na kukabidhiwa na wazazi wake. Amekuzalia watoto, anafua na kupiga pasi nguo zako, anapika chakula watoto wako na wewe hamlali na njaa leo unampa mateso haya.
Leo...
Habarini tena wana jamvi, Leo ninakuja na ushauri kidogo kwa dada zangu. Mitandao ya kijamii inaweza kuwa sehemu nzuri sana ya kubadilishana mawazo na kushirikishana matukio yanayotokea maishani...
Habari wana Jf i hope manaendelea vizurii
lets go straight to the point ipo hivi jumapili iliyopita nilikua pande za Tabata Segerea sehemu moja hivi Maarfu wanapaita The Great. nilkua nakula...
Hebu tafakari matumizi yako yanakuletea baraka ama yanakuongezea mikosi? Hebu fanya hesabu ya pesa umewahi kuhonga afu ukaishia kuumizwa je kama kwamfano ungeenda zile shule za mission ukachukua...
We've run out of words we've run out of time
We've run out of reasons, really why we together?
We both know it's over baby bottom line
It's best we don't even talk at all
Don't call me even if I...
Bandugu igwee!!
Kweli kama sio haya mavazi ambayo wanawake na wasichana wanayavaa kujisitiri kiukweli usingetamani hata kukutana nao.
Unakutana na binti mzuri kweli kweli usoni na chura anayo...
Nisiwachoshe, kuna msichana nilipewa namba yake na nikaelezwa jinsi alivyo nayeye akapewa namba yangu akaelezwa jinsi nilivyo,basi tukaendelea kuwasiliana na kupanga mipango ya kuja kukutana,Ila...
Wanawake wengi wamezoea kudhani na kusema kuwa wanaume wanakwepa majukumu kwa kuwa huwa wakijua mwanamke ana mtoto wanakimbia, lakini ukweli ni kwamba wanaume hawakwepi majukumu wanataka ukweli...
Wengi wetu sisi vijana unashindwa kusema mbele ya wazazi au jamii kuwa mmejuana wapi labda Facebook, Instagram,tinder, LinkedIn, Twitter au hata Badoo n.k huishia kusema wamekutana kwenye...
Mara nyingi wanawake wakitajaga vitu wanavyovipenda kwa mwanaume wanasema neno "attention" sijui wanamaana gani? Hii ambayo naijua mimi au nyingine please tuambieni.
Wadada wengi waliofikia umri wa kuolewa na hawajaolewa, kwa asilimia kubwa wako frustrated ni warahisi sana kukasirika.
Unaweza kuwauliza jambo dogo tu, ukajibiwa ndivyo sivyo; hii nimeshuhudia...
Kama mwanamke ilivyo kawaida hawasomeki wala hawaeleki utastaajabu Sana!
Mwanamke unamtongoza anakutolea nje hataki kabisa mazoea na wewe,SMS hajibu,Simu hapokei!
Ila mwisho wa siku anakukubali na...
Wadau habari za muda huu
Mimi nimepata mpenzi siku za karibuni lakini ninachopata taabu ni kuwa huyu Dada sio msafi hata kidogo hasa nguo za ndani.
Ni mzuri lakini hili tatizo limekuwa kero...
Habar za asubuh wakuu,
Bila kupoteza muda niende kwenye topic. Hivi mpenzi wako kukuonyesha sms au chats za jinsi anavyotongozwa na wanaume wengine na kuwakataa huwa ni ishara gani hii?
Nini...
Matukio ya kuuana kwenye mapenzi yaonyeshe kitu kwa wapenzi na wanandoa.
Kikubwa cha kwanza ni kuwa mapenzi hayaishi hamu kwa siku moja huwa ni process, ukiona mapenzi yenu yameisha utamu na...
UTAMADUNI wetu umetujengea matarajio makubwa kwa mwanamume. Tangu mtoto wa kiume anapozaliwa, jamii inamtegemea aoneshe tofauti yake na mwenzake wa kike.
Kazi atakazopewa, kwa mfano, kwa kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.