Kwa wanawake mapenzi ni kitendawili!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Kama mwanamke ilivyo kawaida hawasomeki wala hawaeleki utastaajabu Sana!
Mwanamke unamtongoza anakutolea nje hataki kabisa mazoea na wewe,SMS hajibu,Simu hapokei!
Ila mwisho wa siku anakukubali na anakuletea papuchi kwa speed kama yote,mahaba niue kama yote full kujiliza Mara usiniache baby!
Kidume ukivuta picha jinsi alivyokusumbua unacheka tu mwenyewe kwa hasira!
N.B,ukiona unaanza kuwaelewa wanawake ujue siku zako za kuishi Duniani ni chache sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom