Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Wanawake wengi wamezoea kudhani na kusema kuwa wanaume wanakwepa majukumu kwa kuwa huwa wakijua mwanamke ana mtoto wanakimbia, lakini ukweli ni kwamba wanaume hawakwepi majukumu wanataka ukweli.
Yaani, kama mwanaume atajua in advance kama mwanamke amezaa na akakubali kuwa nae hawezi kuogopa kumlea mtoto.
Ila kinachotokea wanwake wengi hudanganya na wanaume wanapojua wanaondoka kwa kuwa wanaona ni kufanywa bwege.
Wapo watoto wanalelewa na mababa wasio wao hadi majina wanatumia ya baba zao walezi, ila hao walezi wanajua kuwa huyu sio mwanangu wa damu. Sio uende ukafichefiche halafu ujulikane bado uchukuliwe poa.
Hatuogopi majukumu!