Mpenzi wangu mchafu kupindukia napitia wakati mgumu

Mpenzi wangu mchafu kupindukia napitia wakati mgumu

Nibiru X

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2019
Posts
426
Reaction score
437
Wadau habari za muda huu

Mimi nimepata mpenzi siku za karibuni lakini ninachopata taabu ni kuwa huyu Dada sio msafi hata kidogo hasa nguo za ndani.

Ni mzuri lakini hili tatizo limekuwa kero kwangu. Anaweza kuoga akimaliza anarudia chupi ile ile hata siku nne, ukimuuliza anasema nisijali anaipenda sana ikiwa hivyo.

Nimejaribu kumshawishi ajijengee tabia ya usafi lakini nimeshindwa. Nikimwacha inaweza kuwa nimemnyanyapaa au italeta picha gani?
 
huyo dada aliwahi kunambia kuwa
1. we unanuka mdomo,
2. ukilala unatoa sauti kama ya feni mbovu,
3. boxer yako ina ramani ya dar hata ikifuliwa haitoki.

huyo ni mwenzio kabisa.
 
Hiyo aliwekea dawa ya kiganga .Akibadilisha tuu akiwa na wewe basi penzi linafia hapo hapo
 
Kweli penye miti hakunaga wajenzi...
Yaani, hiyo kyupi anapo ivuwa tu unatakiwa kuichukuwa kisha unainusa 24/7 na kwa haaira ukiamka asubuhi, unaichukua unaichukuwa, unaipasi, ikitowa mvuke, elekeza kwenye shati utalovaa, kisha ichukuwe uikunje na ukuwe kama leso ya siku hiyo
 
Me sio msafi sana. Lakini mtoto wa kike kuwa mchafu aisee haipendezi.
Kama anaipenda hiyo pichu mnunulie nyingine nyingi za design hiyo. Nibiru X,
 
Nibiru X,
Umewahi kumnulilia hizo chupi za kubadilisha mara kwa mara akakataa kuzivaa au umekimbilia tu jf kuja kumuanika ?
 
Doh pole sana!!, ndo changamoto izo ndg ndg ktk mahusiano... wala usimkatie tamaa kazi ni ndogo tu..

Akienda kuoga ,ww uku nyuma chukua ile pichu yake aliyoivua iloweke, tumbukiza kwenye ndoo ya maji, nadhani akirudi akiikuta imelowa atachukua nyngne atavaa, taratibu atazoea tu

Pia mnunulie dazen za pichu ,kaa nazo kwako, ili ukiloweka asitafute visingizio kuwa hana nyngne..atazoea tuu

Endelea kumrekebisha kwa vitendo, mana kulalamika sana mtu anaona ni kero, kwa hiyo ww usiseme nae dawa ni ndg tu kama hiyo...ataelewa tu mdg mdg
 
Back
Top Bottom