Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadada wapo kwa ajili ya mabaharia,na mabaharia wapo kwa ajili ya wadada; ikitokea mnahitajiana ni vizuri kuelewana kwa njia iliyostaarabika. Bila kustaarabika ndio ile inafikia miaka 45+ bado...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Maisha ya mwanaume bila mwanamke hayajakamilika. Utakunywa pombe, utalewa, na utarudi katika hali yako ya kawaida, lakini pale kati hapajakamilika Utatembea nchi zote duniani na utarudi nyumbani...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Kuna mdada tumezoeana kuitana baby baby. Jana akawa hajaja kazini gafla nikaona sms ilisomeka hivi Baby leo sijaja kazini tumbo linauma mimi nikatoa pole, then nikauliza vipi umeenda hospital...
8 Reactions
143 Replies
14K Views
Imagine umepata mpenzi wako mpya halafu anakuambia muende kupima Virusi vya Ukimwi ( VVU) na ikatokea kwa bahati mbaya utachukua hatua gani? Wengi hapa huishia kukatisha mahusiano. Lakini je...
1 Reactions
1 Replies
874 Views
Natumai mmeamka salama wakuu, Vidume wenzangu tabia ya kujigamba mbele za watu eti mkeo ni mwaminifu hawezi chepuka, imemtokea puan rafiki yangu. Kila siku alikua anavimba kijiweni eti mkewe...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Vijana wa leo 'brothen men' sana! Kila kijana anayefunga ndoa eti anafungia mjini anakoishi, anakofanyia kazi badala ya kurudi kijijini ulikozaliwa, ulikokulia ama ulikotoka na ndio kwenye baraka...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Du aya mambo kama chapaa akuna ndio kwaheri utakula kwa macho naona Bonge la kizinga hapa any way povu lukusa lukusa lukusa ahaaaaa NB blue ni ME na Njano ni KE
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Mapenzi ni matamu ila ni gharama. Nimelithibitisha hili baada ya kipindi fulani kwenda kwenye mapumziko ya siku saba na mrembo wangu mwenye chura matata. Kabla ya kuanza safari nilikuwa nimeweka...
6 Reactions
34 Replies
5K Views
Mwanamke wa miaka 32 je kama yupo single hana mtoto akitaka kuolewa ataolewa kweli ?? Kwa maana wanaume wanataka vipya ?? Hii inakuwaje???
2 Reactions
99 Replies
10K Views
Unajua nyie wanaume waTanzania mna matatizo mingi sana mpaka mnakera sijui mkoje. Niliweka post hapa nikasema nina pesa lakini sijui nitumie nini basi dm wanaume wamejileta wengi ati wa nataka...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
Waungwana msaada kwenye tuta, kumetokea mgongano wa maslahi hapa.... nimemwambia ‘asante’ naye kawahi ‘asante’ nikabadili gia angani namwambia Pole naye anajibu Pole. Hii imekaaje wakuu, nani...
3 Reactions
50 Replies
6K Views
Umepata Bwana, umempenda kweli kweli, umemlalamikia sana eti kwanini hakupeleki kwa wazazi wake kukutambulisha, jamaa akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi, akakupeleka. Wewe badala hata utake...
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana Jamii Forum. Nipo kwenye kipindi muafaka kabisa cha kupata mwenza wangu wa maisha. Swala la kumpata mtu sahii wa kuoa/kuolewa ni changamoto hasa zama hizi. Kutokana na kukua kwa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Watalam wa mahusiano naombeni ushauri kwenye hili. Kuna msichana nampenda sana na natamani kua na mahusiano nae, lakini ye ni kama hataki uku anataka. Nimeshamweka wazi mda mrefu tu lakini...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hapo kabla, kuna binti nilkua nae kimapenzi tuna mwaka kwa sahivi, na kuna kipindi tunaachana na kurudiana, ila kwa sahivi inshort sio mpenzi wangu, ila hua nakula mzigo. kama mwezi na nusu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
James ni mtoto wa pekee kuzaliwa, wazazi wake walikuwa fukara mno na uzazi uliwapa shida. Mama yake alipata ujauzito akiwa na miaka 40+ bahati mbaya alifariki akiwa anajifungua. Ndugu...
14 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari zenu wana jamvi. Mm ni muajiriwa mpya katika shirika flani nina kama miez sita tu hivi pale, katika shirika kuna kijana toka siku ya kwanza ya interview alinipokea vizur sana na alioneaha...
2 Reactions
107 Replies
10K Views
Her dad told her, "If you marry that man you will never set foot in this house again." Mary soon learned that most people felt the same way. The first years of their marriage living in Birmingham...
9 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom