Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,041
- 4,297
Habarini tena wana jamvi, Leo ninakuja na ushauri kidogo kwa dada zangu. Mitandao ya kijamii inaweza kuwa sehemu nzuri sana ya kubadilishana mawazo na kushirikishana matukio yanayotokea maishani mwetu.
Lakini suala la ushirikishanaji huu ndio umekuwa sio mzuri, kwa mfano mtu anapiga picha ambayo maudhui yake ni ya kumshirikisha mchumba wake au mumewe tu lakini utaona maudhui haya yanafika mpaka mtandaoni ambapo kuna watoto waliobarehe majuzi na kwa bahati mbaya zaidi wakapata simu yenye uwezo wa kupakua facebook, huyu kijana aliyebarehe juzi anakutana na haya maudhui inakuwasi salama kwake.
Kwa wakati fulani mie nimejikuta nikiingia kwenye mahusiano na watu wa namna hii bila kufahamu majina watumiayo wakiwa kwenye mitandao ya kijamii. Baadae nimekuja kujua mpaka napoteza nguvu.
Girlfriend wangu wa kwanza huyu alikuwa anashirikisha watu na picha za nusu uchi na ukitaka kumshauri anasema kwani kipi kibaya si zile ni picha tu ??[emoji15][emoji15]. Ni nilijitahidi sanaila nikaona nijitoe tu mwenyewe maana nilioana kabisa nilipoangukia sio mahali pangu.
Rafiki yangu wa kike wa sasa naye ni mtu ambaye anapenda kushirikishana maudhui ya namna hii, ukijaribu kumshauri juu ya aina hii ya tabia mbishi sana.
Nia yangu ilikuwa nimuoe lakiji napoteza hamu maana mwanamke picha zake za nusu utupu zimetapakaa mtandao!
Ushauri kwa dada zangu, kuna wakati watu watalalamika kuwa hakuna waoaji, kumbe waolewaji wenyewe wamebaki wachache.
Hivyo dada zangu jitahidini mnapokuwa mnaweka picha za nusu uchi mfikirie na upande wa pili wa hzo picha, yaani mwanao akija kuwa mkubwa akakuta picha kama hizo unadhani ni sifa nzuri?
Si nzuri acheni hizo tabia. We kama ni mzuri ni mzuri tu huna haja kujibinua matako, wala kutuonyesha mapaja yako yalivuo mazuri.
Tunza mwili wako dada yangu, wewe ni madini adimu ambayo kuyapata mtu yampasa ahangaike na sio kirahisi rahisi anaona shanga na mapaja yako na kitovu nje nje.
Ni hayo tu, adhuhuri njema[emoji4]