Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

..mi hata sijawahi kuusikia wala kuuona,ndio naona hapa.!
 
Nilikuwa nikisikiliza wimbo huu na nikajikuta najiuliza, "hivi kuna wanaume wanaokubali kushare mapenzi huku wakitambua kuwa wanashare"

Eti wanaume hii imekaaje? Maana mie kila mwanaume niliyewahi kuwa nae walikuwa wakiniambia "nikigundua unanisaliti ndio tiketi yako na nakuacha"

Na ni sababu gani haswaa inayokupelekea ukubali kushare? Ni uhaba wa wanawake? Maana nijuavyo mimi wanawake ni wengi kuliko wanaume.

Karibuni.

...myself i don't believe it,hamna kitu kama hicho kwa yeyote mwenye akili timamu,hizo ni tungo tu ila hazina uhalisia wowote..
 
kuna baadhi ya mambo yataka moyo sana kuyakubali kwenye mapenzi. kwanini ushare?
tafuta mmoja tulia nae.
 
Some time mbona wanaume wanakubali tuu kushare pale ambapo wao ndio wanavamia kambi ya mtuuu, sema ku realize au kukubali inakuwa vigumu as a men

Ila wimbo huu naupenda saana, saana...

Stil as a men ukincheat nakuacha...
 
...myself i don't believe it,hamna kitu kama hicho kwa yeyote mwenye akili timamu,hizo ni tungo tu ila hazina uhalisia wowote..

Tambua huwa wanatunga mambo ambayo yanatokea kwenye jamii, maana hata movie nyingi nishaona hiki kitu, na katika jamii zetu yapo jamani.
 
kuna baadhi ya mambo yataka moyo sana kuyakubali kwenye mapenzi. kwanini ushare?
tafuta mmoja tulia nae.

Ndio nataka nijue wale wanaume ambao huwa wanakubali kushare sababu kuu haswa huwa ni nini??
 
Some time mbona wanaume wanakubali tuu kushare pale ambapo wao ndio wanavamia kambi ya mtuuu, sema ku realize au kukubali inakuwa vigumu as a men

Ila wimbo huu naupenda saana, saana...

Stil as a men ukincheat nakuacha...

So ukisalitiwa wewe hukubali, ila ukivamia kambi uko tayari kushare bila tatizo? Hivi tofauti hapo iko wapi? Na kwanini ukubali kushare?
 
So ukisalitiwa wewe hukubali, ila ukivamia kambi uko tayari kushare bila tatizo? Hivi tofauti hapo iko wapi? Na kwanini ukubali kushare?

Teh teh shemeji tofauti ni kwamba wewe ndio unaeenda kutafuta mtu....

Mfano, kabla sijamalizaga kuwa mwanafunzi ilikuwa kila mwanamke unayemuona yupo occupied na mtu mwingine...
Kilichofuata ni kuvamia kambi za watu kuplay smart kisha ku ocupy jumla..

So unakubali kushea with the aim kwamba utamfanyia psychological transformatio awe wako jumla..

Kwa situation kama hiyo unakubali tuu,
 
naupenda sna huu wimbo,,,,,,mapenzi sio pesa japo ikikosekana yanapungua!
 
Back
Top Bottom