Wanawake naombeni mnifafanueni hili

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,829
19,227
Mara nyingi wanawake wakitajaga vitu wanavyovipenda kwa mwanaume wanasema neno "attention" sijui wanamaana gani? Hii ambayo naijua mimi au nyingine please tuambieni.
 
Back
Top Bottom