Wasichana/Wanawake

Wasichana/Wanawake

Bavarian8

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
655
Reaction score
1,449
Bandugu igwee!!
Kweli kama sio haya mavazi ambayo wanawake na wasichana wanayavaa kujisitiri kiukweli usingetamani hata kukutana nao.

Unakutana na binti mzuri kweli kweli usoni na chura anayo, kavaa na kimini chake au suruali yupo poa, ngoja avue sasa hizo nguo utakimbia. Duh zile sehemu zinatisha balaa.

Je, hii ni kwangu tu ndo naona hivi au kwa wanaume wote?
 
Kifurushi chako pendwa cha Saizi Yako kimerudi na Bonus. Nunua leo kifurushi Pendwa au kifurushi chochote upate Dk10 BURE Tigo-Tigo Saa24. Piga *147*00# kununua
 
Wanaume tunazidi kupungua utakimbiaje zimwi likujualo na lisilokula likakwisha..
 
itategemea umekutana na nani, ukimuona mama yeyoo wangu hutotamani kuacha kumuangalia.
 
Back
Top Bottom