BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,196
- 14,371
-Usiku wa manane jua Kali likawaka hali ambayo sikuizoea hivyo ilinipa mashaka sikutaka tugombane yeye ndo alitaka akawa ananililia eti anataka talaka lile ua letu la upendo likanyauka nilitaka kuwa chizi mama ningeweuka nikasema tulia moyo aya dunia yasikutushe wala by Ben pol - Wapo.
-Machozi yangu yote inamalizika mie ntalala nani we unaenda mie mpaka ni mawazo mie mpaka nikuwaza waza we unaenda kama ile njia ya kuenda kama ni maisha ya kufuata we Dada by Papa Wemba - Rail on
-Kosa gani ndo nawaza everytime everynight kipi kilifanya mpaka ugo sekela sekela by Mo music
-Nilikupenda sana mfano wa maua lakini hupendeki wewe bora sasa uende nimechoka hakika sijiwezi kuishi tena Mimi na wewe ingawa nakupenda lakini sitoweza. By safari sound - Nilikupenda