Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,709
Kama tittle inavyo sema....... Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa mwisho nilikua na mpenzi, huyu mpenzi alinipenda sana ila mimi sikua na upendo ule kwa sababu nilikua na wengine wengi. Lakini kama mjuavyo asili yetu wanaume tulivyo hata kama una madem wengi lazima wivu utakuepo tu hata kama humpendi.
Basi bwana maisha yaliendelea, kuna jamaa tulikua darasa moja ila sijawahi kuwa na mazoea nae, akatokea kunielewa kishenzi yaani na kuniaminia sana hadi nikajistukia huyu jamaa vipi..... Sikupata jibu ila nilipo kuja kuchunguza huyu jamaa mbona hivi ila nilipo kuja kuona jamaa ni positive basi nikamsogeza karibu tukawa marafiki.
Basi kama mjuavyo kwenye hivi vyuo vya engineering mwaka wa mwisho hua kuna kua na project, basi jamaa project yake ilikua ni ya programing kwa kua mimi mwenyewe nilikua mkali wa programing ila jamaa ni kilaza pande hizo basi nikajitolea kumfanyia project.
Hadi hapo project ilivyo kamilika kwa asilimia 80 hivi, basi kuna siku nilikua nae gheto huyo jamaa sasa nikawa naona babe ananitafuta ila hana salio.
Nikajaribu kumcheki kumbe mimi mwenyewe kifurushi kimechacha basi nikatumia simu ya jamaa, lakini maongezi yalikua ya kugombana kuwa nipo kimya sana, basi nikamuelekeza manzi kuwa nipo mwaka wa mwisho huku project imekamata sana ila usihofu yataisha... Manzi akawa kama kanielewa na maisha yakaendelea. Ila wakati huo manzi na huyu jamaa walikua hawajuani kwa sababu manzi alikua chuo kingine mkoa mwaka wa Pili.
Basi bana harakati za hapa na pale zikiendelea nikifanya project yangu pamoja na ya huyo jamaa na wale wengine mara moja moja... Kifupi nilibanwa sana nikawa busy hatari.
Baada kama wiki tatu hivi kupita nikaona jamaa kama ananiogopa fulani hivi yaani tukionana anakua kama mpole hivi ila akiwa sehemu nyingine anakuwa sawa ila nikitokea mimi tu hawi huru.... Nikawa napuuza. Nikaona manzi kanibadilikia yaani jinsi manzi anavyo nibalikia ndio jamaa anavyo zidi kuniogopa.
Siku akili tu ikaja tu ikasema fuatilia tuone... Ile kuja kufuatilia nikakuta jamaa kanipindua wamesha Anza na kupostiana..... Hahahaha nilicheka sana nikajiona fala. Ila nikajiapiza mimi ni fala ila sio fala kiivo "nahitaji kumfundisha mtu adabu". Basi nikamwambia jamaa leta pc yako tumalizie project....
Nikajua atakataa jioni tu jamaa kaleta pc basi bwana nilicho kifanya kwenye zile code as a programmer shetani pekee ndio anaweza aka elewa. Basi nikampa jamaa pc nikamwambia tutamalizia kesho.
Kesho ikifika namwambia kesho tena mara badae mara nipo busy hadi hapo muda wa kupresent ulipo fika, zikawa zimebaki kama siku mbili hivi jamaa akasema kama unataka kitu niambie nikajibu ndio nataka laki tano..... Jamaa akastuka yote hiyo nikamjibu mkisaidiana na Nancy(yule demu) ni ndogo.
Mwana akaanza samahani pale za kutosha ila nilikaza ndio mara ya kwanza kuona chozi la mwanaume mwenzangu lina nililia..... Hahahahahaaa raha sana akaanza kutuma watu wamuombee msamaha huku wakisisitiza mwana hii ni elimu usimfanyie hivyo mwana sijui blablabla nyingi nikasema nimepunguza anipe laki nne watu wali cheka kichizi.... Jamaa akauza simu akanipa hiyo hela basi nikampa copy ya project yake mambo yakawa yameisha cha ajabu akaanza kumtuma yule manzi eti walipize kisasi kwa kuwa mimi mwenyewe baharia kitambo akajileta gest akitegemea nitaenda na pc ili asepe navyo ila akijikuta kasuguliwa kitumbua na alipo amka hakumkuta mtu....
Sijui hata iliendelea vipi maana tangu hapo niliwablock kila kona kila kijiji kila mtaa.... Hataa sijui waliishia wapi.
NB
Wanaume tupunguze shobo na wanawake, Mwanamke chake ni mshedede tu hivyo vingine mnajipendekeza tu.