Coke Zero
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 1,024
- 541
Kuna msichana flani alikuwa msichana wa mshikaji wangu, kipindi yuko na jamaa mimi nilikuwa kama msuruhishi wao ikitokea wakigombana yani jamaa ananiomba nimbembeleze msichana, jamaa yeye hanaa maneno matamu. Sasa sijui nini kilitokea wakaja wakaachana.
Juzi kati huyu msichana amenitumia SMS huku akiniamnia amenimiss na maswali ya kitoto, mara wifi hajambo, mara nisalimie wifi, mara nyingine anamponda mshkaji, nikaona isiwe tabu nikamtongoza, alikubali faster kuliko nilivyotegemea, yani kuanzia juzi nammega kisela na mwenyewe amekubali mapigo yangu ila anadai wasiwasi wake ni mshikaji wangu nikamwambia tulia mshikaji hatajua labda umwambie wewe kwakuwa yuko mbali kwa sasa.
Ushauri wangu kama una msichana wako usije ukajaribu kumuomba jamaa au best yako akakusaidie kumbembeleza mkiombana kwani mwisho wa siku ni kugongewa tu.