Ukijiona mvivu wa kutoa papuchi yako tafadhari sana usitake ndoa

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Kuna baadhi ya wanawake wao kutoa Papuchi ni kama mzigo sana kwao unakuta wengi wanakimbilia ndoa na wanajitahidi pale mwanzoni tu ndoa ikiwa changa lakini ikifika miezi michache wanaanza kubania papuchi zao kwa kisingizio cha kutokujisikia kufanya tendo,

Wanawake ambao hamjaolewa mjue tu Ndoa ni all about sex (Ni kulana kwa kwenda mbele), Ndoa ndio sehemu pekee ambayo mpaka wazazi wako wanajua kwamba kwa sasa mtoto wetu kuna mtu anammenya na ndio maana ata mkienda kutembea ukweni mnapewa chumba cha peke yenu, kwa sababu wanajua usiku lazima uliwe tu,

Wewe kama unaona hujisikii kufanya mapenzi mara kwa mara ni vyema ukawaachia gape wale wanaojisikia waolewe na nyie mbaki kuwa Single mother mfanye kwa kutafuta watoto tu,

Cc Zero IQ
 
Pia jitahidini na nyie romance ile mlokua nayo wakati wa uchumba muendelee nayo sio tena kisa umenioa ndo ukija tuu panua nataka lol.

Sisi ni wale wale tunahitaji kubembelezwa kule kule na matashtiti yale yale. Kwa hyo wote tubembelezane tujaliane mambo yataenda sawa kabisa.

Mnajua sie majukumu yameongezeka hasa suala la kuzaa watoto,japo wakija nao ni baraka ila mkumbuke wanatutegemea sisi kwa asilimia kubwa so zile stress za kulea kunyonyesha kuna hormone zinapungua I think halafu ndo uchanganye na mwanaume asie jali yanii papuchi itakua kavu na huwezi kupata hisia.
 
Kuna baadhi ya wanawake wao kutoa Papuchi ni kama mzigo sana kwao unakuta wengi wanakimbilia ndoa na wanajitahidi pale mwanzoni tu ndoa ikiwa changa lakini ikifika miezi michache wanaanza kubania papuchi zao kwa kisingizio cha kutokujisikia kufanya tendo,
Hasa wenye minyama wavivu sana kutoa papuchi. Lkn vipotabo asilimia kubwa wanatoa ushirikiano sana
 
Pia jitahidini na nyie romance ile mlokua nayo wakati wa uchumba muendelee nayo sio tena kisa umenioa ndo ukija tuu panua nataka lol. Sisi ni wale wale tunahitaji kubembelezwa kule kule na matashtiti yale yale. Kwa hyo wote tubembelezane tujaliane mambo yataenda sawa kabisa. Mnajua sie majukumu yameongezeka hasa suala la kuzaa watoto,japo wakija nao ni baraka ila mkumbuke wanatutegemea sisi kwa asilimia kubwa so zile stress za kulea kunyonyesha kuna hormone zinapungua I think halafu ndo uchanganye na mwanaume asie jali yanii papuchi itakua kavu na huwezi kupata hisia.

Mzee baba wako akiendelea na hiyo tabia ya kiboya ya kukwambia inama nikusweke bila romance wala nini. Nitafute ASAP
 
Pia jitahidini na nyie romance ile mlokua nayo wakati wa uchumba muendelee nayo sio tena kisa umenioa ndo ukija tuu panua nataka lol. Sisi ni wale wale tunahitaji kubembelezwa kule kule na matashtiti yale yale. Kwa hyo wote tubembelezane tujaliane mambo yataenda sawa kabisa. Mnajua sie majukumu yameongezeka hasa suala la kuzaa watoto,japo wakija nao ni baraka ila mkumbuke wanatutegemea sisi kwa asilimia kubwa so zile stress za kulea kunyonyesha kuna hormone zinapungua I think halafu ndo uchanganye na mwanaume asie jali yanii papuchi itakua kavu na huwezi kupata hisia.
mnavyojua kusingizia hao watoto, mkiwa hamjawapata mnajisingizia mmechoka , Mungu anawaona
 
Pia jitahidini na nyie romance ile mlokua nayo wakati wa uchumba muendelee nayo sio tena kisa umenioa ndo ukija tuu panua nataka lol. Sisi ni wale wale tunahitaji kubembelezwa kule kule na matashtiti yale yale. Kwa hyo wote tubembelezane tujaliane mambo yataenda sawa kabisa. Mnajua sie majukumu yameongezeka hasa suala la kuzaa watoto,japo wakija nao ni baraka ila mkumbuke wanatutegemea sisi kwa asilimia kubwa so zile stress za kulea kunyonyesha kuna hormone zinapungua I think halafu ndo uchanganye na mwanaume asie jali yanii papuchi itakua kavu na huwezi kupata hisia.
Point
 
Back
Top Bottom