Behind the camera
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 315
- 757
Aisee naongea kwa huzuni ambayo ina ubwege kidogo ndani yake. Lakini sitoona haya/ aibu kuizungumza mbele ya hadhira.
Kuna binti wa umri wa miaka 19 nilimtongoza miezi kadhaa ilopita (Kama miezi miwili hivi) akakubali.
Lakini wakati namuomba tunda akawa analeta sababu ambazo hazieleweki. Lakini nikavumilia tu na wakati huo nikiendelea kumhudumia kwa pesa ndogo ndogo kama vocha, chakula, mafuta, pedi nk.
Leo akaamua Kwa hiyari yake kuwa akitoka kanisani atanipa game nzuri tuu. Mwanaume nikajipanga ipasavyo nilienda kabisa maeneo ambayo tulipanga kukutana.
Nilipofika GHAFLA akanambia hebu usichukue chumba kwanza. Nikamwambia kwanini? Akasema mimi siwezi kufanya sex kwa sasa kama unataka nioe ninakuruhusu.
Aisee nguvu ziliniishia kiasi kwamba almanusura kuanguka chini kwa majibu yale ukizingatia nilishajipanga kula tunda la mrembo yule. Nikaona isiwe kesi. Jibu nililompa ni moja tu
"MUNGU ATAKULIPA KWA HILI"
Baada ya pale ili angalau kupunguza machungu moyoni nikaenda zangu gest nikachukua chumba, nikabonga na muhudumu nikamlipa pesa akanipa kimoja cha kufuta jasho nikarudi zangu home.
Hapa nimerudi geto nikiwa ninamuwaza huyu mwanamke nimfanye nini ili iwe fundisho?
Naomba ushauri kabla ya kuchukua maamuzi. Ila pia naomba radhi Kwa wanaume wenzangu kwa kitendo cha kuwaangusha. Naapa sitorudia tena.
NAWASILISHA