Ushauri:Ni kweli mtoto ni wangu

Ushauri:Ni kweli mtoto ni wangu

Prince kelly

Member
Joined
Aug 29, 2017
Posts
43
Reaction score
48
Natumai mu wazima wana jf, nisichukue mdaa Sana ni takribani mwaka umeishaa toka tuachane NA ex wangu tuliodumu nae kwa miaka mitano . Ni kweli nilimpenda Sana nakunifanya nisione mwanamke mwingine zaidi ake na nikifikiri yeye ndo atakuja kuwa mke nakuaidiana mambo mengi.

Ila iyo siku alikuja badilika ghafla hakuwa anapatikna takriban siku 3 NA alikuwa kawaidaa ake so siku ya tatu anakuja patikana namuuliza ulikuwa WAP ananijibu crush kwa kuwa nilikuwa nampenda nikamuambia Kama umenichoka bora niambie tuachane akaniambia poa kila MTU afuatee hamsini zake me nikachukulia poa atard maana nilijua ananipendaa atarudi tu wapi zikapita takriban siku tatu no call wala anything ndo nikajua kweli kadhamiria ukweli niliumia Sana sikula wala kunywaa almost Kama week kadhaaa atimae nikamsahau.

So ikapita mwezi akajaniambia Ana mimbaa ni ya msela alie mpata na jamaa yuko mbioni kwenda kwao kujitambulishaa kwao ukweli niliumia NA sikuwa na jinsi kupotezea tu sasanikawa simuelewi girl aishii kunitafuta kunijulia hali umeamkaje umeshindaje nikawa nachukulia poa kinyongo sina nae tukawa Kama marafk mpaka alipojifungua na apo tayari anaishii NA msela anaedai mtoto ni wake.

Kilichokuwa cha nipa kigugumizi ex ananiambia nikamsalimie mtoto so nikawa najiuliza kanionajee Mimi niende msalimia mtoto ambao sio wangu so nikawa napuuzia sasa hiyo day akaja nitafutaa niendee kwa graduation ya mdogo ake nikaonaa aina budi acha niendee ndo kwa Mara yakwanza kuonana nae toka tuachane Kama mwaka huku kabeba mtoto na yuko na jamaa ake bila IANA nikamsalimia ex na msela kiroho safi nikaondoka zangu NA issue zangu ila kumuona mtoto nikapata mashaka kumuangalia Kama anafanana NA Mimi so sikutaka kumuuliza zaidi nikaonekana nangangania mtoto.

So zikapita Kama two days toka nikutane nae akajaniambia mbona kmy toka uonani NA Mimi nikamuambia wala ndo akajaniambia mtoto ni wangu amembambikizia msela NA akaniambia kama siamini aje NA mtoto nimkague Kama ni wangu basi me sikuwa NA hiana nikamuambia panga siku uje kweli akapanga siku akaja NA mtoto ghetto kumuangalia kweli ni anafanana NA Mimi so kasheshe likwa inakuajee kuhusu uyo jamaa ake.

So after hiyo day tukawa twachati Kama kawaidaaa sijui ni bwana ake akaja ona message nikawa NA chat I NA girl kilichofuatia mwanamke akaja niambia nifuatee hamsini zangu NA nisimjue NA mtoto sio wangu so APA nipo NA maswali elfu moja inakuajeee.
 
Mbona nasie tulishawahi kua na umri huo na hatukuyumbishwa kimawazo au vitendo.. Wewe mwana ushaona unafanana nae afu unasubiri mwanamke ndio akuamulie kua niwako au sio wako.. Pambania damu yako.
Fanya hata ukapime DNA. Usiache damu yako mikononi mwa wengine
 
asantee kwa ushauri maana mwanamke simuelewi elewi
 
Baharia unakwama... kwanza mwanamke kakupiga chini sawa umekubali yameisha... ila bado kila anachokuambia unafanya unapigiwa simu unapokea, unaitwa kwenye graduation umeenda ye ni ndugu yako? kuwa na misimamo mzee ndomana huyo mwanamke alikupiga chini sababu alishajua amekushika so hata akienda kwa mwingine wewe bado ni wake tu atakufanya anavyotaka
 
Mbona nasie tulishawahi kua na umri huo na hatukuyumbishwa kimawazo au vitendo.. Wewe mwana ushaona unafanana nae afu unasubiri mwanamke ndio akuamulie kua niwako au sio wako.. Pambania damu yako.
Fanya hata ukapime DNA. Usiache damu yako mikononi mwa wengine
Mpe moyo
 
Naunga mkono hoja.

Back
Top Bottom