Nifanye nini kumsahau huyu jamaa

Mama suki pawania

New Member
Nov 17, 2019
2
9
Ni mtu ambae nimekuwa nae kwenye mahusiano, tukatokea kupendana sana lakini ghafla upepo wa kisulisuli ukatupitia akanipiga kibuti, jamani kuachwa kubaya hasa mtu unayempenda.

Nimejaribu kumuomba msamaha na kumuahid kubadilika lakin jamaa amenikazia hataki mawasiliano kabisa.

Nimejitahidi kumpotezea kama mwezi hivi lakini nashindwa maana haipiti siku bila kuonana nae maana tupo karibu sana.

Mliopitia situation kama hii ilifanyaje ukaweza ku-move on, mapenzi yanayesa hasa naempenda kakuacha.

Yule mdigo ananitesa wallah sijui nifanyaje mwenzenu.
 
Ushauri; endelea kupost hapa kila siku kutupa kinachoendelea na kubadilishana mawazo mwishowe itapita, labda unaweza hata opoa njemba hapa yenye BBC ikakusahaulisha.
 
ul
Ni mtu ambae nimekua nae kwenye mahusiano, tukatokea kupendana sana lakin ghafla upepo wa kisulisuli ukatupitia akanipiga kibuti, jaman kuachwa kubaya hasa mtu unaempenda.

Nimejaribu kumuomba msamaha na kumuahid kubadilika lakin jamaa amenikazia hatak mawasiliano kabisaaa.

Nimejitahid kumpotezea kama mwez hv lakin nashindwa maana haipiti Siku bila kuonana nae maana tupo karibu sna.

Mliopitia situation kama hii ilifanyaje ukaweza kumove on, mapenz yanayesa hasa naempenda kakuacha.

Yule mdigo ananitesa wallah cjui nifanyaje mwenzenu.
ulikuwa unampa penz kutumia style zip? mlikuwa mnaenda peku? au? jibu haya maswal kwanza ndo nikupe ushaur
 
Ni mtu ambae nimekua nae kwenye mahusiano, tukatokea kupendana sana lakin ghafla upepo wa kisulisuli ukatupitia akanipiga kibuti, jaman kuachwa kubaya hasa mtu unaempenda.

Nimejaribu kumuomba msamaha na kumuahid kubadilika lakin jamaa amenikazia hatak mawasiliano kabisaaa.

Nimejitahid kumpotezea kama mwez hv lakin nashindwa maana haipiti Siku bila kuonana nae maana tupo karibu sna.

Mliopitia situation kama hii ilifanyaje ukaweza kumove on, mapenz yanayesa hasa naempenda kakuacha.

Yule mdigo ananitesa wallah cjui nifanyaje mwenzenu.
Ila ukweli nikwamba mwana mke mwenye gubu mdomo zege dharau mchafu mwenye kupenda ligi....havumiliki hata ukiwa unampenda je.
 
Ni mtu ambae nimekua nae kwenye mahusiano, tukatokea kupendana sana lakin ghafla upepo wa kisulisuli ukatupitia akanipiga kibuti, jaman kuachwa kubaya hasa mtu unaempenda.

Nimejaribu kumuomba msamaha na kumuahid kubadilika lakin jamaa amenikazia hatak mawasiliano kabisaaa.

Nimejitahid kumpotezea kama mwez hv lakin nashindwa maana haipiti Siku bila kuonana nae maana tupo karibu sna.

Mliopitia situation kama hii ilifanyaje ukaweza kumove on, mapenz yanayesa hasa naempenda kakuacha.

Yule mdigo ananitesa wallah cjui nifanyaje mwenzenu.
Hamia kambi nyingine huku
 
Thamani ya kitu/mtu huonekana dhahiri pale kisipo kuwepo.
Mdigo kakupiga kibuti now ndo unafahamu thamani yake, cha msingi kaa mbali naye usimuone just fanya mishe zako. Mdigo akisusa kasusa kwelii
 
Back
Top Bottom