Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilimtongoza huyu mrembo baada ya kuvutiwa nae yapata wiki mbili sasa na kunjibu sawa nimekuelewa. Kinachonichanganya hanijibu directly kama ameshanielewa pia, na isitoshe charting anarespond...
0 Reactions
42 Replies
49K Views
I can forgive when I realize carrying around anger is pointless. That being said, however, true me never forgets, not someone who intentionally tried to harm Me or hurt Me. Never. The truth...
7 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari wanandugu, Nina bro wangu anatafuta girlfriend Amejiajiri na umri wake ni miaka 36. Ni mkristo. Naandika ili iwasaidie wale wanaopendelea watu wa upande wao lakini yeye habagui dini. Kama...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna huyu mama alipata mimba akiwa chuo. Alitaka kuitoa ile mimba lakini wazazi wake waliposikia habari hizo walijitahidi kwa uwezo wao kumsaidia binti mpaka alijifungua. Mama yake alimlea...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Habarini ....mimi ni kijana umri 28...ila sina mahusiano kabsa ila najikuta sipati usingizi adi saa nane au tisa usiku nipo tuu jf na mitandao mengine an all of time nasoma thread za mapenz au...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Si wakati wa kumcheka ama kumsimanga bali ni wakati wa kumsaidia kwa kila hali... Haya anayopitia yanahitaji faraja na kupewa moyo... Lakini ni lazima tafakuri iwepo ili tupate cha kujifunza. Ni...
9 Reactions
69 Replies
13K Views
Mimi ni mwanaume mwenye mke na tumefanikiwa kuwa na mtoto wa kike mmoja. Siku ya kwanza nakutana na mke wangu kimwili, baadae aliniambia sikumfanya vizuri. Siku zilivyoenda akawa ananisifia kuwa...
5 Reactions
106 Replies
12K Views
Iko hivi,Jana nilileta uzi wa namna ya kumsaidia jirani yangu ambaye mmewe aliondoka bila kuaga.nashukuru Kwa walionishauri na nilifanya hivyo igawa siwezi sema hapa nilifanya nini maana msaada...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Iko hivi na niende kwenye mada. Hapa nilipopanga kuna wapangaji wengine kama wawili hivyo tuko watatu Mmoja ambaye ni mpagaji mwezetu yeye anafamilia Kwa na hiyo familia ni watoto wawili na mmoja...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekua napenda kufuatilia wanawake wanaotafuta "mume" humu jf na mitandao mingine sio ili "kujipatia" goma la hasha mimi nishaoa ila hua napenda kuenjoy mawazo yao. Utamsikia "natafuta mume mimi...
10 Reactions
55 Replies
6K Views
Kama sitaeleweka tuusameheane! Imewahi kujadiliwa hapa kuhusu katerero huu ni ule mchezo wa mapenzi ambapo bunduki yake kuchezea uke, na mwanamke humwaga maji mengi sana akifika kileleni] mtindo...
1 Reactions
125 Replies
73K Views
Mimi naona ni kitu cha kawaida. Mtu kama ameolewa ni sawa na kama hukuolewa ni sawa na haina haja kupanic ati umri unaenda huolewi. Ndoa ni kama vitu vingine tu chukulia mfano umasikini na...
7 Reactions
65 Replies
6K Views
Akiwa na urafiki na mwanaume Kipindi mmekosana/mmenuniana Kipato cha mwanaume kikipungua. Uwepo/awapo amesafiri Akiwa kazini hasa kama ameajiriwa 1.UPENDO WA MGUSO WA NDANI Mwanamke akikosa...
2 Reactions
196 Replies
31K Views
Wakuu: Nionyeshe mwanamke mnywa pombe ambaye hachepuki..... Ntakuonyesha kuku mwenye miguu Minne.
18 Reactions
461 Replies
36K Views
Mke wa mtu anataka nimpangishie nyumba yake. Huyu mdada ana mji wake na watoto 3 ila mumewe amemtelekeza na kuacha kuwahudumia watoto pamoja na mama yao. Huyu mdada aliamua kujiendeleza kielimu...
10 Reactions
116 Replies
10K Views
kama ilivyo hapo juu nina uhtaji na mke mwema langi yeyote,kwa alie tayari nafasi ipo wazi wahi mapema!!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mbinu zipi unatumia kumfaidi mwenzako? Muumba alikuwa na sababu ya kuumba hasi na chanya,lengo lake kuu ni hizi pande mbili ziweze kuingiliana.Ni ajabu hasi kumkataa chanya na chanya kumkataa...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Nina mke tuliedumu kwenye ndoa miaka 13 Sasa lakini kumetokea katabia fluni miaka ya hivi karibuni kuanzia 2017 Kila anapoenda nyumbani kwao kusalimia na kusaidia kuvuna kurudi nyumbani kwa mbinde...
16 Reactions
134 Replies
12K Views
Jamani wadau nauliza kuna mapenzi kweli hapo? Mwezi sasa umepita, anachonijibu sina hela na kila siku tunahesabu hela nyingine huwa ananipa nazipeleka benki Ushauri tafadhali......
3 Reactions
104 Replies
8K Views
Kuna demu mmoja baada ya kumtongoza, alinipa namba yake, zile siku nne za mwanzo alikuwa lazima aanze yeye kuni-text, na alikuwa mshapu kwenye kunijibu SMS, nikichelewa tu kujibu, ananiuliza mbona...
8 Reactions
68 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…