Ushauri tafadhali..
Tafuta kitu cha kufanya mwanaume usikubali kuwa joblessAlinipenda nikiwa job saivi nipo jobless naona hanitaki kabisa.
Kama huna mtaji wala kazi halafu unachagua kazi basi KAZI IPOInategemea sio kila kazi ni kazi,
Basi pamana nje upatesitaki
Namkaza sana tu..hadi anamtaja bibi mzaa babu yake..lakini wp,ukizungumza habari za hela tu anachange mind kabisa..
ha ha ha kumkaza sana inakuwaje?Humkazi sana,trust me!
Hiyo kumtaja bibi mzaa babu yake anakujaza tu ili uonekane unajua kumbe ni bure kabisa
Nipe namba yake nikusaidie kumshawishi
Kama hutaki njoo Huku upewe dudusitaki