Nilivyomwambia aje gheto kuichukua hela, kaninunia mwezi wa 3 huu sasa

AlphaMale

JF-Expert Member
Oct 26, 2019
613
1,401
Kuna demu mmoja baada ya kumtongoza, alinipa namba yake, zile siku nne za mwanzo alikuwa lazima aanze yeye kuni-text, na alikuwa mshapu kwenye kunijibu SMS, nikichelewa tu kujibu, ananiuliza mbona kimya, nikaona hapa nimepata kumbe nilipatikana

Siku ya tano aliniomba Tsh elf 10 alisema eti ana shida nayo, nikamwambia akija ghetto hiyo jumapili kama tulivyokubaliana nitampa nauli ya kwenda na kurudi na zaidi ya hiyo Tsh elf 10.

Akabisha akasema elf 10 ana shida nayo siku hiyo hiyo, mimi nikamwambia Jumapili kesho kutwa tu, na akija kunitembelea gheto nItampa hela nyingi..

Nlivyomwambia hivyo, hakunitafutaga tena hadi leo, na ghetto hakuja kama alivyoni-promise..na mimi sikumtafutaga tena..
 
Yaonekana tukio hili limetokea jana usiku ukawahi asubuhi kuujulisha umma kwa hii "free press conference" ya hapa JF
Duuh yaan buku 10 tuu ndo unajiona ulitaka kuchunwa hadi ukakata mahusiano kweli wee baharia una hali ngumu
"Tujifunze kuwasaidia watu bila kuhitaji chochote kutoka kwao pale tunapokua na uwezo na nafasi ya kuwasaidia."

Sio lazima ukubaliane na mimi.
Umejosikia tu kuandika tujue yaliyokusibu ama?

Ushauri tu kwa mademu, kuna baadhi ya members humu wana multiple IDs ambazo, ID nyingine wanapondea thredi za ivi na kuonyesha ni wahongaji wazuri, na IDs zingine ni purposely kumsapoti mwanzisha uzi.
 
mzigo umekutoka mtuu, hiyo hela hebu mtumie mzazi wako uona atakavyokushukuru
 
Back
Top Bottom