Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,181
- 64,255
Mbinu zipi unatumia kumfaidi mwenzako?
Muumba alikuwa na sababu ya kuumba hasi na chanya,lengo lake kuu ni hizi pande mbili ziweze kuingiliana.Ni ajabu hasi kumkataa chanya na chanya kumkataa hasi. Na hizi pande mbili zikikutana huwa zinafaidiana...Je wewe utumia mbinu zipi kumfaidi mwenzako?