Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,163
- 64,232
Mke wa mtu anataka nimpangishie nyumba yake.
Huyu mdada ana mji wake na watoto 3 ila mumewe amemtelekeza na kuacha kuwahudumia watoto pamoja na mama yao. Huyu mdada aliamua kujiendeleza kielimu (chuo) na katika mizunguko yangu ya hapa na pale,nikajikuta nimeshawishika kutokana na shepu yake.
Nikawa namghramia matumizi madogo madogo, wakati mwingine ada n.k. Mwisho wa siku akaamua kunizawadia ujauzito.
Sasa changamoto inayokuja kwa sasa, anataka nimpangishie nyumba ndogo na nianze kumnunulia vitu vya ndani.
Wakuu, haya majukumu ni halali mimi kupewa?