Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

Katika pitapita zangu za kuyapiga maji... Nikiwa na crew na jamaa zangu, sijawah kukutana na mwanamke (ama binti/mke wa mtu) Ambaye atakaa na sisi/na mimi asitoe namba ya simu baada ya kugigida pombe ama hata kuondoka nae kabisa..

Nasisitiza, kama hajachepuka alhamis, atachepuka jumamos
 
Back
Top Bottom