TRC wamemtoa wapi Dereva Mshamba

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,845
2,937
Ni hili treni la daladala reli ya Tazara, kuna bonge la dereva mshamba wa mji sijawahi kuona. Sijui ndo wa wakolomije, yaani njia nzima ni kupiga mahoni tu ni kama vile honi ya treni ni ya kuamsha au kuita abiria. Kila mtu anajua ratiba ya treni, kama ni kupigia honi watu wapishe, honi mbili tu zinatosha njia nzima maana honi ya treni inaenda umbali mrefu sana. Imekuwa ni kero kubwa na hili dereva halina hata mwezi hapa mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jifunze ku balance shobo tu
 
Back
Top Bottom