Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 657
- 548
Wakuu salam,
Kuoa kuna raha sana, though sometimes kuna ups and downs, vijana tuoe
Nimetoka zangu kupiga mishe mishe kitaa ili nipate chapaa ya kumnunulia wife nguo ya skukuu na chenji aende akasukie, ili asije akaachwa nyuma na sikukuu zijazo, maana maisha ni haya haya
Kama mnavyojua kipindi hiki wadada wamekua romantic sana,
Ile nafika gheto tu, baby mama akanirukia juu kama kile kichwa cha Ronaldo na kuniambia " baby utaanza kula kwanza ndo ule ama ule alafu utakula baadae"
Bado sijamjibu, nipo nasolve kwa kutumia scientific calculator yangu ili kuhakikisha napata jibu sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app