Daahh hivi huu mtandao bado una wateja!enzi hizo na zeutamu ndio zinakujakujamie bado na jina langu toka DHW ya kina zeze na pussy cat
Mamii wa kitambo wewe ndio maana nondo zako classicDHW niliitwa Batuli
Kuna ahmed mmoja alikuwa rafiki yangu kipindi hicho anasoma chuo cha usafirishaji, baadae akaenda nje kusoma...Mm hapa nlikua natumia jina ahlamed
Huyo sio mm mkuu...Kuna ahmed mmoja alikuwa rafiki yangu kipindi hicho anasoma chuo cha usafirishaji, baadae akaenda nje kusoma...
OkeeeHuyo sio mm mkuu...
Nisingeweza mruka..mbona umemruka utakuwa ni wewe