The rules: kitabu cha jinsi ya kuwavutia wanaume

The rules: kitabu cha jinsi ya kuwavutia wanaume

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Ni kitabu kizuri ambacho kinamfundisha mwanamke kuwa mwanamke( kuna wanawake hawajui mwanamke anakuaje so matendo yako hua hayana tofauti na ya wanaume) . Ni kizuri kwa wadada lakini pia kwa wenye watoto wa kike ni vema wakawapa wasome wajue. Sio kujiachia achia.

Mfano . rule number 22" don't live with a man( or leave your things on his apartment)
23. "Never date married man"

Malezi mema
 
Attachments

Mtadanganyana tu, Rule ni moja..

mwanamke usiombe hela, tishia kujiua endapo mwanaume wako atataka kukupa hela

Then thank me later
 
Mwanamke hanaga Rules!
Hizi zimeitwa rule lakni ni kama tabia ambazo mtoto mdogo anatakiwa awe nazo (afundishwe) tangu akiwa mdogo.
Mfano katika hiki kitabu mtoto wakike ajue kua awapo mbele ya wanaume asiwe mimacho kodo kodo au maneno mengi
 
Unakuta mwandishi ni mwanamke kwahyo swala anafundisha swala wenzake jinsi ya kujiweka wawindwe na simba...tuulizeni sisi
 
Eti never date married man!! Hahaaa ufudu mtupu. Married men are settled and least are financially fit to take care of family costs. Na wanawake wa Sasa ndio kitu wanachokitaka, kuwa financially supported. Swali ni je wataweza??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom