Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,492
...usijisumbue, ndoa si Kwa kila mwanamke au mwanaume!
Hii case ni kubwa Kwa wadada/wamama yaani kila wakati wanahangaika lini wataolewa. Utawakuta wamepanga mistari Kwa Manabii/wachungaji kuomba maombi ya kuolewa! Masangoma nao wanawapiga Sana wadada kisa kuolewa!
Noeli niliibukia Pub moja, wakati napata glass ya juice ya ukwaju mara nakutana na bidada niliyesoma naye 2011. She was still cute, tabasamu la haja na umbo lake tamu lilikuwa halijapotea! Class tuliaminigi she was one of wife materials lkn n our mazungumzo akaanza kulalama kuwa Kwa nini haolewi. Dada kanywa mpk mafuta na maji ya upako ya Mtume ila wapi!! Nikampa jibu lililosababisha afiche tabasamu lake Kwa sidiria, nilimwambia, 'Marriage is not for every woman'
Jamani! Sio wote tumeandikiwa ndoa! Zile kauli sijui ndoa ni Sheria kuzaa majaliwa ni za viongozi wa dini tu. Dini zenyewe miyeyusho, mara hii inashauri kuoa mke mmoja na nyingine inashauri tuoe hata 4 na tukifa tutapewa mavirgin 72 na nguvu za kupiga 100!
Just live your life, be good to everyone, penda kusaidia wahitaji, usimuumize yeyote.
Fanya kila uwezacho kukupa furaha ilimradi humuumizi mtu! Issue za stress za mahusiano sijui kulazimishana ndoa tuache.
Ukishajigundua ndoa si fungu lako potezea, Kula bata! We only live once!!
Sent using Jamii Forums mobile app