Unamchumbia na kumwoa binti bila kumchunguza kwa undani, huna akili. Utaishia kulia

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Moyo wa mwanamke una uwezo wa kutunza siri zaidi ya serikali.
Wapo waliotoa mimba na wameambiwa hawatazaa tena. Wamekaa kimya.
Wapo walioolewa na kukimbia ndoa au kuachika, wametunza siri.
Wengine walipokuwa chuo mbali na nyumbani walishaiahi unyumba na mwanaume hata bila wazazi kujua
Wapo ambao wanaumwa magonjwa ya ajabu kama kifafa n.k wamekaa kimya
Wapo wenye watoto na wamewaficha kwa ndugu zao wamekaa kimya kana kwamba hawajazaa.
Wengine wana VVU wamekaa kimya.
Usimwamini mwamamke kwa 100%.
Mchunguze kwa gharama yoyote kisha fanya uamuzi ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima ktk ndoa yenu.
 
Hata sisi wanaume ni hivyo unakuta ushawahi kuwa mwizi lakini unakataa
Unakunywa lakini ukiwa na mwanamke unakataa
Una wanawake watatu lakini unawakana unasema mimi niko na wewe tu. Kumbe una watoto na huwahudumii.
Una upungufu wa nguvu za kiume lakini una cheat na dasta congo

Man maisha ya mahusiano ni kama kamari tu.

Sasa usipokuwa na mwanamke uwe na mwanaume mwenzio?

Ah tuishi nao tu kwa akili.
 
Kama huu uzi unanihusu vile..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna kinachouma kama umeoa demu alafu unakuta hana marinda alafu wew alikua ana-act kama demu mwenye msimamo, mwenyewe ukaona huyu ndio wa kuoa ukajikusanya wew kuoa bila hata ya kuonja mzigo kwanza, baada ya kuoa na kula mzigo unagundua wahuni walikua wanamla tundu la nyuma tena wamemuharibu wakati huo wew ulikua na mtazamo mzuri sana kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata sisi wanaume ni hivyo unakuta ushawahi kuwa mwizi lakini unakataa
Unakunywa lakini ukiwa na mwanamke unakataa
Una wanawake watatu lakini unawakana unasema mimi niko na wewe tu. Kumbe una watoto na huwahudumii.
Una upungufu wa nguvu za kiume lakini una cheat na dasta congo

Man maisha ya mahusiano ni kama kamari tu.

Sasa usipokuwa na mwanamke uwe na mwanaume mwenzio?

Ah tuishi nao tu kwa akili.
Umemaliza. Labda atufundishe jinsi ya kuchunguza. Mtu mnadumu uchumba zaidi ya miaka 5 na humjui ng'o hadi pale mtakapoanza kuishi wote
 
Back
Top Bottom