Nikwambie kitu my? Swali la hovyo kabisa

Nikwambie kitu my? Swali la hovyo kabisa

Ukijibu tu eti niambie, kinachofuata hapo ni kuombwa hela za kusuka,lotion,chips, n.k
 
Napenda wanavyosema kwa kubembeleza....swali zuri sana la kuombea mkopo benki.....
 
Hivi inashikanaga nn kusema moja kwa moja hadi akuombe ruhusa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kuna sehemu mnafundishwaga au imetokea automatically kila mwanamke atumie haka kamsemo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikwambie kitu sio lazima kitakachofuata ni pesa mnaogopa vijana.
 
Back
Top Bottom