Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna sababu nyingi kwa vijana kutoingia kwenye ndoa. Lakini sababu zinazojulikana zaidi ni hitaji la kifedha, kujiandaa binafsi, na ukosefu wa mwenza anayefaa. Sababu hizo mbili za mwisho...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Ni mara nyingi nimekuja kwenu kuhusiana na wife wangu. Kwa kweli nimepata darasa kubwa sana kwenu, hakika nikajihisi nimetua mzigo fulani. Kama nilivyoeleza kwenye baadhi ya thread kuwa...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Kuna mambo ya ajabu sana sisi wanaume hufanya ndani ya maisha ya ndoa. Utakuta mtu umeoa na unandugu zako ila chaajabu mambo yako ya msingi katika maisha unamshirikisha zaidi rafiki yako kuliko...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
2020 (twenty twenty) Ndo hiyo imeingia, tukiwa na afya njema kabisa. Juzi tarehe moja nikaona ngoja nikatongoze kale kabinti kanakotembeza juisi pale kazini kwetu ili nianze mwaka na Kamanzi...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Mchana nimegombana na mke wangu mpaka sasa hajarudi na sijui yuko wapi, nikimpigia simu hapokei, je nimtafute au nimuache atarudi mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
962 Views
Kheri ya mwaka mpya wakuu! Najiuliza hapa, huu ukatili kwa hawa malaika wasio na hatia mnawezaje kuwafanyia? Tena yawezekana mama zao mliwatongoza kwa kuwabembeleza sana mpaka wakawakubalia at...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Dada mmoja ametueleza hiki kisa kimemsononesha sana Anasema"Huyo kaka alimtongoza miezi 4 iliyopita na baada ya kumkubalia waliendelea kukaa kwenye mahusiano kwa kipindi hicho chote bila sex...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ladies, Virtually all men suffer from the same problem. Sexual attraction isn’t something to be ashamed of nor something to attempt to control. Your body wants things, and the only question is...
1 Reactions
361 Replies
21K Views
Huyu mdada moja ya sababu ambayo ilinifanya nimpende ni kuwa ana huge boobs yaani matiti makubwa. Mimi huyapenda hayo na hasa niliwaza kuwa akijifungua mtoto wetu hatopata shida ya maziwa. Lakini...
13 Reactions
103 Replies
12K Views
Kwenye kugegedana wakati wazungu wanatoka mngependa wazungu watumie dakika ngapi kutoka nje,Mimi nachoshwa na hizi sekunde siridhiki kabisa,Ni Kama pombe wengine bia mbili wengine creti...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwenye hiyo Leseni ya gari amepata ajali na kupoteza maisha. Mwili umehifadhiwa hospitali ya wilaya Same Kilimanjaro. Jr[emoji769]
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Kama heading inavosema wakuu kuna wadada watano wanataka niwenao kimapenzi. Kuna mmoja Niko nae Ila sielewi kabisa kinachoendelea. Sasa wapo hawa wanne, wa kwanza kanizidi umri na kipesa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Yan kwanini mtu afanye hivyo? Au kwanini mtu apindue kimguu chache? Kwanini mtu aachie sehemu ya maziwa wakati wa kupiga picha? Kwanini? Kwanini?
5 Reactions
25 Replies
5K Views
Kati ya vitu ambavyo wanaume wanatumia vibaya ni haya madawa ya kuongeza nguvu Yaani wanakunywa hayo madawa halafu wanaenda kukutana na mpenzi wake,acha wasugue,acha asugue,unasubiri atakojoa...
6 Reactions
60 Replies
8K Views
Nina swali dogo tu,nisaidieni wakuu: Kwa afya,mwanaume/mwanamke anatakiwa atoe magoli mangapi kwa siku?
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani. Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu...
23 Reactions
285 Replies
24K Views
wana jamii forum karibu tupeane mawazo, Katika mahusiano wakati yanaanza huwa yanaanza vizuri. Maana yake watu wanaanza kwa furaha sana huku wakipeana siri za maisha, historia za maisha lakini...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
USIDANGANYIKE NA MWANZO Usidanganyike na hatua za mwanzo za mwanzo, hakunaga mapenzi pale vile visimu na viSMS visivyo na idadi visikufanye ukajisahau ukaingia mpaka na viatu vyako. Hatua za...
26 Reactions
43 Replies
7K Views
Happy new year good civilians! Let me take you back in time kipindi bado niko Form Four mitaa ya Mwanza halafu nikusafirishe mpaka leo. Kukutana Nlipokuwa form four nilitongoza binti wa mtaani...
18 Reactions
67 Replies
10K Views
Kuna baba mmoja alihukumiwa kifo asile hadi afe. Binti yake tu aliruhusiwa kwenda kumuangalia gerezani. Masiku yalisogea bila yule baba kufa. Watawala wakajiuliza kwanini hafi wakati hali...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom