Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,352
- 11,487
Huyu mdada moja ya sababu ambayo ilinifanya nimpende ni kuwa ana huge boobs yaani matiti makubwa. Mimi huyapenda hayo na hasa niliwaza kuwa akijifungua mtoto wetu hatopata shida ya maziwa.
Lakini pia niliona ingesaidia kubana matumizi hasa ununuaji wa maziwa ya kopo so nikaona huyu dada ndo chaguo sahihi.
But kiukweli amekuja kuwa tofauti. Nampa kila anachotaka kama supu, uji lishe, matunda, juice, mtori n.k ananenepa tu anapendeza ila shida imerudi pale pale.gharama zangu zote kama bure tu.
Mtoto hanyonyi akashiba. Inakuwa shida naanza tena kununua Aptimil kwa gharama kubwa wakati nishamgharamikia wife yeye aproduce maziwa ya mtoto.
Sasa sielewi why hatoi maziwa mengi wakati ana maboobs ya kutosha kabisa hata yanaonesha kila moja linaweza toa lita 1.5 hivyo jumla 3?
Jamani hii siyo makusudi sababu anajua tu nitanunua ya kopo? Ni bora nimwache akaone kama kuyatunza eti ili yasilale kuna faida maana najua ndo anachoogopa kuwa yakinyonywa sana eti yatalala.
Nimeamua tu nimpe siku mbili ahakikishe anatoa lita 3 kwa siku kama hawezi aende zake tu kwao. Siwezi mimi niwe namlisha vizuri halafu ambanie mtoto wangu maziwa, hilo limenifikirisha sana.
Sijui mnasemaje wadau.