Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa upande wangu Mimi nina marafik wa kiume baadhi, wa shida na raha yani changu chake, chake changu kwa hekima na upendo, sio usela mavi. Karbia wote ndio bado wasongoka kitabu na wengine...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Kwa dunia ya leo iliyojaa technology mabinti wengi hasa wa bara la Afrika wamejaa tamaa. Imefika wakati wamejigeuza kuwa bidhaa. Kila mmoja kajipa level yake ya uchunaji. Tamaa ya nguo za...
13 Reactions
61 Replies
8K Views
Ukatuni wenyewe ni... Utakuta mwanaume anatafuta mpenzi huenda alikua single au anaongeza mchepuko na akafanikiwa kupata, Kapata mtoto akamtunuku tunda siku hiyo hiyo, Baadhi ya wanaume tulivo...
20 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari I wana JF mdogo wangu anataka kufanya harusi budget yake ni 14,000000 hataki mchango wa harusi kwa mtu yoyote watu wa kuhudhulia 200. Je pesa hio itatosha. Waliohudhuria Kamati za harusi...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kama zali mkuu Deadbody nimebahatika kuopoa katoto fulani hivi kazuri kutoka Tanga.Nilikuwa nasikia sana story za Tanga ila leo ndio ile siku iliyokuwa inasubiliwa na Deadbody. Wakuu niweke...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Habari zenu Nahitaji msaada wenu km kuna mtu anamfahamu huyo mtu amesoma Azania O level, A level Pugu (PCM) then akaenda UDSM kusoma Engineering (sijui aina gani ya injinia)alimaliza 2009...
3 Reactions
99 Replies
7K Views
Habari ndiyo hiyo. Kuanzia leo ukiona Mkeo au Demu wako ambaye umezaa nae Mtoto wa Kike anakuwa na Gubu au Mlalamishi au ana Makelele sana usimshangae au usimzuie labda kwa kumwambia abadilike...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo nimeshtuka sana kuonana na jamaa yangu wa kitambo GEGEDU. kiukweli jamaa huyu nmeshangaa naye kauona mwaka 2020. Nmeamini vijidudu vya UKIMWI vya miaka hii ni dhaifu sana.haya ndo mabadiliko...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana bodi. Namshukuru Mungu kwa kunifikisha mwaka 2020. Namshukuru pia kwa wana JF wenzangu mlioteuliwa kutunukiwa afya kwa mara nyingine. Nirejee kwenye mada. Hakuna gereza gumu kutoka...
11 Reactions
35 Replies
5K Views
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza imekua kero ya mda mrefu kwa baby (mke wangu) juu ya matumizi ya pombe kwangu aisee hadi ilikua kero sasa miezi miwili iliyopita mshikaji wangu ambaye ni...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Rejea kichwa cha Habari hapo Naitwa Frank , huu ni mwaka wangu wa 25 , Nimesoma , Nimeajiriwa Serikalini (Tanzania Defence Force) , Ni mwanaume anayejitambua na muelewa sana, Naweza kummudu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndivyo navyoweza kusema, nilioa miaka mitano iliyopita ila huyu mwanamke ni kiboko niliwahi kutupiwa begi la nguo nje kama Dk Slaa kisa nimerudi saa nne usiku nilichelewa baada ya kutoka kwenye...
6 Reactions
81 Replies
15K Views
Natanguliza salamu za mwaka mpya 2020. Katika harakati za Krismasi na kuukaribisha mwaka mpya wa 2020, nilikutana na dada fulani mrembo kaumbika kweli; chuchu ndio hizo, dimples za kuvutia na tako...
15 Reactions
70 Replies
8K Views
.......2019 Nimetumia zaidi ya 2.5 Mil kwa Uzinzi na Umalaya.. ......Hii kitu kweli imelaaniwa jamani. Tuache hii kitu Aina Faida yoyote,Zaidi ya Kuhatarisha Maisha na Kutia Umaskini Sent using...
4 Reactions
38 Replies
9K Views
Habari wana JF. Kuna hii TV program ya mahusiano ya wana ndoa na wana ndoa watarajiwa na nimeona kwamba inaweza kutufaa wengi huku JF. Nitakuwa nawawekea video mbalimbali za hivi vipindi na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Je ikitokea mtu ulie nae kwenye mahusiano akaenda kumtongoza mmoja wapo wa wanafamilia yako (family member tena close kabisa) ukajua then akakuomba msamaha utafanyaje? Je utamsamehe na kuendelea...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanaume tukae macho na kama maandiko yanavyosema tuoe ila tuishi na hao tuliowaowa kwa akili
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nikiwa mdogo, Mama yangu alikuwa anawasiliana nami kwa macho..., bila kutamka na nilikuwa namuelewa vizuri!! Jicho hilo silioni siku hizi miongoni mwa akina mama. Ilikuwa wageni wakija...
31 Reactions
83 Replies
7K Views
Wakuu habari? Nimeona nipate majibu kutoka hapa maana nimeulizwa hili kwa mda mrefu nakosa jibu sahihi. Naomba niuulize maswali niliyowahi kuulizwa.\ 1.Kwanin kupiga goti kwa mwanaume wakati...
1 Reactions
70 Replies
15K Views
Wana JamiiForums wenzangu, kutokana na kautafiti ambako siyo rasmi nilikokafanya kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki nimekuja kugundua watu ambao wameoa wanawake wembamba wengi wao ndoa zao...
2 Reactions
212 Replies
26K Views
Back
Top Bottom