Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Kama heading inavosema wakuu kuna wadada watano wanataka niwenao kimapenzi. Kuna mmoja Niko nae Ila sielewi kabisa kinachoendelea. Sasa wapo hawa wanne, wa kwanza kanizidi umri na kipesa ananifatilia Ila sijampa jibu wala kumtokea anayo number yangu ananisumbua wasapp tulijuana kupitia jamaa flani kibiashara, wapili tulisoma nae nimempita umri yuko mkoa mwingine anazo hela kunipita anatumia jamaa tuliosoma nao kunifikishia ujumbe halafu ananipenda tokea Chuo tatizo ni kama nikiwa nae naonekana maskini kwa level yake nilishindwa tokea Chuo kuhusiana nae, watatu na NNE wapo kitaa wananitega na kunishobokea sana nafupisha shobo, watatu ni mdogo wa jamaa yangu nikauzu balaa kama wazazi wake mtoto analetashobo kwao life zuri mi kapuku tu naonekana zoba, wanne ni mgeni mtaani ndio ameanza kazi mwezi 11 mwaka huu. Mwanamme kutokua na hela unakua zoba, domo limekua jiwe zito. Naona noma sana bahati zote zinapita Niko kwenye majanga.
Shikamoo Pesa, Aisee magufuri 2020 nakuchinja umeharibu mkondo wa Pesa kisa demus
Shikamoo Pesa, Aisee magufuri 2020 nakuchinja umeharibu mkondo wa Pesa kisa demus