CHEATING COUPLES
Cheating sometimes start with that chat. That guy that tells you you are beautiful and your heart is racing like maaaaad! That lady that tells you you are awesome and your...
Habarini wakuu.Niende kwenye mada maana nahisi sipo sawa muda huu kutokana na kilichotokea leo asubuhi.
Kuna binti nilizaa naye miaka michache iliyopita sasa tulikuwa na malengo mazuri ya kufunga...
LE MUTUZ MOBIMBA: ZE AKILI ZANGU ZA ASUBUHI U KNOW: ..Mara paaap mamen kazimia U know ...
.Mamen mjue mchumba wako kabla ya kurukia ndoa ...cause ona sasa Jamaa siku ya kufunga Ndoa Kanisani ndio...
Tangu ulipokuwa mdogo unapambana na shule kama kuamka asubuhi na mapema bila idhini yako pamoja na usumbufu mwingine wa namna hiyo.
Je, leo unaishi yale maisha yasiyokuwa na usumbufu au kero?
Nianze kukiri ukweli kwamba kati ya viumbe ambao wako trickier hasa kwenye suala la ngono na tendo la ndoa kwa ujumla ni wanawake. Leo sitaki kuandika maneno marefu sana. Niende moja kwa moja...
Kwa jinsi nilivyozea nikiwa bachelor nguo navaa Mara moja na nikivua hapo hapo nazifua japo nipo busy Mara nyingi lakini ni msafi 24 hours, nikila papuchi ghetto Demu akitoka hapo hapo nafua...
Tarehe 25 Oktoba tulipokea taarifa toka Geita ambapo jirani alituarifu juu ya usafirishaji haramu wa watoto unaofanywa na mama jirani yake. Kwamba mama huyo tayari mabinti zake Esta mwenye umri wa...
Kuna jamaa mmoja tunafanya kazi ofisi moja amepatwa na tukio ambalo mpaka Sasa limemuacha kwenye wakati mgumu kiasi cha kumfanya ajihisi kuchanganyikiwa.
Ni hivi ana mahusiano na mdada flani hivi...
10 NEW YEAR GOALS FOR YOUR MARRIAGE
Hubby and I have written our goals for the year and I thought it was a good idea to share goals which would be helpful to other marriages too. Enjoy the read😊...
*BENEFITS OF CUDDLING AMONG COUPLES*
-By Oba Samuel
CUddling is one aspect that is very beneficial to our marital relationships as well as our health.
*So many couples in marriage are growing...
Kuna thread apo nyuma nimetoa mda si mrefu, ila na nimegundua vitu kadhaa kutoka kwa wana JF wenzangu humu ambao wako maeneo tofauttofaut ya Tanzania
-Wengi ni Masikini Jeuri,
Inashangaza...
[emoji184]Umeshindwa mpaka sasa kuoa kisa upo kiroho saaaana eti tunamngoja Bwana
[emoji184]Umejifanya upo kiroho mpaka unakera, maana umeitoa kiroho mwingi alafu kutongoza binti huendi...
Leo nawavunjia mayai viza mnaojiita wanaume huku mnazaa watoto na kuwaachia wanawake majukumu ya kulea. Kama unafanya hivi jua kuwa hata kuwa mwanamke hustahili maana wanawake wengi hulea watoto...
Mimi kwa kweli kazi yangu ni boda boda yaani ukikanyaga tu ushirombo mjini huku mkoani Geita ukiuliza Big yuko wapi hakuna asienijua.
Tuachane na hayo nattoa visa vi 5 tu vilivyonifanya nisiwe na...
Hatutaki kupendewa hela, nakutongoza leo kesho unaniomba hela, obviously inaonesha hunipendi na hujavutiwa na mm kimapenzi, ndo maana tunakuja huku jf kulalamika na kuanzisha thread.
Yani mdada...
watu wengi wamekuwa wakiwasifia kwamba rwanda bana kuna wanawake wazuli haswa wanaotokea kabila la watusi
licha ya watu kusifia wadada wa rwanda je kuna watu wameshawahi kutembelea maeneo ya...
Ninavyosikia sikia ni kua wanaume wa Kikurya na Wamasai hutairiwa bila ganzi haaaa! Kwa kweli hata kwenye ujasiri ni wajasiri ni wanaume wa shoka tofauti na wale wavulana wa Dar wanashindia baga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.