mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
2020 (twenty twenty)
Ndo hiyo imeingia, tukiwa na afya njema kabisa.
Juzi tarehe moja nikaona ngoja nikatongoze kale kabinti kanakotembeza juisi pale kazini kwetu ili nianze mwaka na Kamanzi kapya. Kabinti Kana miaka 20 tu hivi.
mzee wa kasumba
nilikabananisha sehemu nikakapiga swaga, kumbe kalikubali kinafiki. Nikakapa namba zangu ili baadae kama hatojali anitafute.
Alinitafuta lakini mambo yalikuwa (NEGA)
(alinikataa) Kwa kigezo kuwa ana mchumba wake. Duh nikasema poa hakuna noma.
Mi nkafuta namba nikaendelea na mambo yangu.
CHA KUSHANGAZA.
Binti amenikataa, tena kwa herufi kubwa zilizowekwa BOLD. Lakini mara meseji 'mambo' mara kapiga video call, mara hivi nashindwa kumuelewa.
Umenikataa khalafu unanisumbua.